Mayele kuja Simba, wenye wivu wajinyonge

Aliyekuwa mchezaji wa Yanga SC, Fiston Mayele ambaye kwa sasa anakipiga na Klabu ya Pyramid ya Misri, leo Aprili 4, 2024 ametembelea kambi ya Klabu ya Simba ambayo kesho inapambana na Al-Ahly ya hukohuko Misri katika mchezo wa marudiano wa robo fainali ya mashindano ya Klabu Bingwa Afrika.
Kwaiyo kuwatembelea tiyali amesajiliwa Simba? Mbumbumbu ni mbumbumbu tu
 
Aliyekuwa mchezaji wa Yanga SC, Fiston Mayele ambaye kwa sasa anakipiga na Klabu ya Pyramid ya Misri, leo Aprili 4, 2024 ametembelea kambi ya Klabu ya Simba ambayo kesho inapambana na Al-Ahly ya hukohuko Misri katika mchezo wa marudiano wa robo fainali ya mashindano ya Klabu Bingwa Afrika.
Huyo ni sawa na x demu wa Yanga, kuleni makombo yetu🤣
 
Ndio Makolo mlipoishia kuokota Makombo...hivi hamna watu wa scouting ?
Mayele yeye haonekani na scout? Vyura hamsajili wachezaji kutoka timu nyingine? Nyie wa kwenu ni brand new sio makombo?
 
Back
Top Bottom