Tetesi: Mayele kwenda Simba, Chama kwenda Yanga

Tetesi: Mayele kwenda Simba, Chama kwenda Yanga

Chama huu ndio msimu wake wa mwisho, na kakataa kuongeza muda. Mayele naye anaomba kuvunja mkataba kule Pryamid, maana yake mayele anaenda simba na chama anaenda yanga.
Kila mtu ashinde mechi zake
 
Chama huu ndio msimu wake wa mwisho, na kakataa kuongeza muda. Mayele naye anaomba kuvunja mkataba kule Pryamid, maana yake mayele anaenda simba na chama anaenda yanga.
Nchi ngumu sana hii
 
Kila msimu Chama anasajiliwa Yanga ila anacheza Simba
 
Simba kumnunua mayele itakua imerudi nyuma hatua nyingi sana kimaendeleo
 
YANGA KUMSAJILI CHAMA NI KAMA KURUDI NYUMA HATUA 8 WAKATI ULIENDA MBELE KWA HATUA 3 TU
Viongozi wa utopolo hawalijui hilo, kwani kulikua na uhitaji wowote wa kumsajili Mkude?
 
Viongozi wa utopolo hawalijui hilo, kwani kulikua na uhitaji wowote wa kumsajili Mkude?
mkude aliokotwa tu si kusajiliwa...kati ya chama na mkude kwenye masuala ya usajili ni vitu viwili tofauti,chama tataka dola 100000 kama ada ya usajili mshahara dola 10000 afu bado atataka awe mkubwa kuliko timu kama anavyowatesa makolouzdad,kama si kujirudisha nyuma huko ni nini?
 
Chama aende Yanga kutafuta nini? Hata yeye kama bado anahitaji kucheza mpira hawezi kukubaliana na hilo wazo ukiachilia mbali tu hata Yanga kumuhitaji Chama mwenyewe.

Yes kwa Mayele kwenda ukoloni naweza nikakubali. Hilo linawezekana kutokea
 
mkude aliokotwa tu si kusajiliwa...kati ya chama na mkude kwenye masuala ya usajili ni vitu viwili tofauti,chama tataka dola 100000 kama ada ya usajili mshahara dola 10000 afu bado atataka awe mkubwa kuliko timu kama anavyowatesa makolouzdad,kama si kujirudisha nyuma huko ni nini?
Haya ni maoni yako na hayana uhalisia wowote, Chama akiachana na Simba leo hii Yanga watamkimbilia mbio mbio na kumsajili kwa mbwembwe za kiwango cha juu
 
kama mudathir anaanza yanga kweli Chama akae nje kwa kikosi Gani icho mlichonacho ambacho Chama ataka Benchi kweli manara alikua sahihi kusema mashabiki wa Yanga hamna akili
Wamekuuliza atacheza namba ya nani sasa ilitakiwa ujibu binti
 
Back
Top Bottom