Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Labda Kwa kucheza cheza mziki uwanjaniHata wachezaji wa Man City wamekomba tuzo zote huko Europe
Inonga ulitaka apewe tuzo kwa kipi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda Kwa kucheza cheza mziki uwanjaniHata wachezaji wa Man City wamekomba tuzo zote huko Europe
Inonga ulitaka apewe tuzo kwa kipi
Haki imetendekaKuna wachambuzi mbuzi walimtoa kabisa eti wakampa Saido kwa lipi .Mayele anafahamika hadi Fainali huko
Hongera sana Yanga mmetwaa tuzo kibao
Wamebalance Tu.Saido ntibazonkiza amewezaje kupata tuzo ya fair play huku akiwa na kadi mbili za njano na Moja nyekundu!!!?
anastahili kabisaKwa Mayele siwezi nikaweka doubt sana japo doubt lipo
Ila kwa beki bora hapo ndio nimeshangazwa na hizi tuzo.
Dickson Job kwa kipi haswa jamani ebu seriously
Imetumika factor gani kuamua Dickson Job kuwa ndio beki bora?
Kama ilivyoleta ukakasi kwa Inonga kuwa beki bora mwaka janaKwa Mayele siwezi nikaweka doubt sana japo doubt lipo
Ila kwa beki bora hapo ndio nimeshangazwa na hizi tuzo.
Dickson Job kwa kipi haswa jamani ebu seriously
Imetumika factor gani kuamua Dickson Job kuwa ndio beki bora?
Kuna mmoja akitoa mpaka picha aliyoedit geto kwake Kule msewe. Eti hongera mfungaji Bora wa 2023 na akweka na logo za Simba na ya Ligi NBc ikimpongeza. Dah! Na bado hawataki kukubaliKuna wachambuzi mbuzi walimtoa kabisa eti wakampa Saido kwa lipi .Mayele anafahamika hadi Fainali huko
Hongera sana Yanga mmetwaa tuzo kibao
Mayele hauna daut wakati wew ulisimama kidete na ntibazonkiza APEWE APEWEKwa Mayele siwezi nikaweka doubt sana japo doubt lipo
Ila kwa beki bora hapo ndio nimeshangazwa na hizi tuzo.
Dickson Job kwa kipi haswa jamani ebu seriously
Imetumika factor gani kuamua Dickson Job kuwa ndio beki bora?
Alianza msimu vibaya sana ila kamaliza vizuri Job Kawa na standard na kaweza kumudu beki ya kati na pembeni vizuriBakari NONDO
Fair play nadhani huwa ni tukio Moja la uwanjani ila frankly hizo kadi zimeondoa sifa hiyo ila tff labda walikuwa wanawafariji SimbaSaido ntibazonkiza amewezaje kupata tuzo ya fair play huku akiwa na kadi mbili za njano na Moja nyekundu!!!?
Hata angepewa Kibwana nieingekuwa na shida.Job anastahili sana.Vijana wanajituma sana ,siyo kama kale Kadunguri ka kususa.Hata Bacca naye Yuko vizuri,ni vile kacheza nusu msimuKwa Mayele siwezi nikaweka doubt sana japo doubt lipo
Ila kwa beki bora hapo ndio nimeshangazwa na hizi tuzo.
Dickson Job kwa kipi haswa jamani ebu seriously
Imetumika factor gani kuamua Dickson Job kuwa ndio beki bora?
Rekodi bila kombe ,bila medali ,bila chochote ni sawa na mwanamke anayejipiga na dilidoMwenye rekodi bora
Yanga ndio club bingwa Tanzania;community shield,Premier League,TFF cup.Mpaka kupata ubingwa lazima iwe na wachezaji bora katika kila eneo.Mimi Nina mashaka na wachezaji wa Simba kama ni bora manake hawana kikombe hata cha kahawa!Kwa Mayele siwezi nikaweka doubt sana japo doubt lipo
Ila kwa beki bora hapo ndio nimeshangazwa na hizi tuzo.
Dickson Job kwa kipi haswa jamani ebu seriously
Imetumika factor gani kuamua Dickson Job kuwa ndio beki bora?
Mzamiru anastahili ,Yaani unamkinganisha mzamiru na yule mwenye shingo kama korongo?Hizo tuzo hata sikuhangaika kuangalia eti Mzamiru anashindania kiungo Bora wakati pasi zake za mwisho nyingi zinapotea huku Putin akiwekwa kando
Labda tujiulize sifa ya kiungo Bora ni zipi,Mzamiru anastahili ,Yaani unamkinganisha mzamiru na yule mwenye shingo kama korongo?