Mayele Mchezaji Bora wa Ligi ya NBC Tanzania 2022/23

Mayele Mchezaji Bora wa Ligi ya NBC Tanzania 2022/23

Saido ntibazonkiza amewezaje kupata tuzo ya fair play huku akiwa na kadi mbili za njano na Moja nyekundu!!!?
 
Yanga sasa Misifa imezidi:
Ngao ya Jamii -YANGA
Kombe la NBC-YANGA
Kombe la Azam-YANGA
CAF Confederation Finalist-YANGA
Mfungaji bora CAF Confederation-YANGA
Mchezaji bora CAF Confederation-YANGA
Golikipa Bora wa Kombe la Azam-YANGA
Golikipa Bora wa Kombe la NBC-YANGA
Beki bora kombe la NBC-YANGA
Mchezaji bora kombe la NBC-YANGA
Mfungaji bora kombe la NBC-YANGA
.................. -YANGA
................. -YANGA
.................. -YANGA
...................na mituzo mingine mingii yote ya nini? Kwa nini wasiwaachie wengine pia waambulie kidogo?.
 
Kwa Mayele siwezi nikaweka doubt sana japo doubt lipo

Ila kwa beki bora hapo ndio nimeshangazwa na hizi tuzo.

Dickson Job kwa kipi haswa jamani ebu seriously

Imetumika factor gani kuamua Dickson Job kuwa ndio beki bora?
anastahili kabisa
 
Kama ilivyoleta ukakasi kwa Inonga kuwa beki bora mwaka jana
 
Hizi ni mbeleko utopolo washa imiliki TFF
 
Kuna wachambuzi mbuzi walimtoa kabisa eti wakampa Saido kwa lipi .Mayele anafahamika hadi Fainali huko
Hongera sana Yanga mmetwaa tuzo kibao
Kuna mmoja akitoa mpaka picha aliyoedit geto kwake Kule msewe. Eti hongera mfungaji Bora wa 2023 na akweka na logo za Simba na ya Ligi NBc ikimpongeza. Dah! Na bado hawataki kukubali
Cc Scars
 
Kwa Mayele siwezi nikaweka doubt sana japo doubt lipo

Ila kwa beki bora hapo ndio nimeshangazwa na hizi tuzo.

Dickson Job kwa kipi haswa jamani ebu seriously

Imetumika factor gani kuamua Dickson Job kuwa ndio beki bora?
Mayele hauna daut wakati wew ulisimama kidete na ntibazonkiza APEWE APEWE
 
Saido ntibazonkiza amewezaje kupata tuzo ya fair play huku akiwa na kadi mbili za njano na Moja nyekundu!!!?
Fair play nadhani huwa ni tukio Moja la uwanjani ila frankly hizo kadi zimeondoa sifa hiyo ila tff labda walikuwa wanawafariji Simba
 
Kuwa Yanga raha, tumekomba siyo kubeba hizo tuzo na makombe. Tutake nini tena?
Madunduka FC yanaona aibu kuja kupiga kelele tena.

Tulipoanza msimu kelele zilikuwa nyingi sana humu. Fainali uzeeni, makolo na hapa ndiyo uzeeni. Mmeona mambo yetu? Tunajua mnaugulia machungu na litimu lenu, lililokuwa linatusindikiza, kama wao mabodyguard wetu 😂😂😂😂😂😂

#Yangadaimambelenyumamwiko#
#timuyatuzonamakombe#
#tukutane2023/2024#
#timuyawananchi#

Since 1935 💛💚
 
Kwa Mayele siwezi nikaweka doubt sana japo doubt lipo

Ila kwa beki bora hapo ndio nimeshangazwa na hizi tuzo.

Dickson Job kwa kipi haswa jamani ebu seriously

Imetumika factor gani kuamua Dickson Job kuwa ndio beki bora?
Hata angepewa Kibwana nieingekuwa na shida.Job anastahili sana.Vijana wanajituma sana ,siyo kama kale Kadunguri ka kususa.Hata Bacca naye Yuko vizuri,ni vile kacheza nusu msimu
 
Kwa Mayele siwezi nikaweka doubt sana japo doubt lipo

Ila kwa beki bora hapo ndio nimeshangazwa na hizi tuzo.

Dickson Job kwa kipi haswa jamani ebu seriously

Imetumika factor gani kuamua Dickson Job kuwa ndio beki bora?
Yanga ndio club bingwa Tanzania;community shield,Premier League,TFF cup.Mpaka kupata ubingwa lazima iwe na wachezaji bora katika kila eneo.Mimi Nina mashaka na wachezaji wa Simba kama ni bora manake hawana kikombe hata cha kahawa!
 
Mzamiru anastahili ,Yaani unamkinganisha mzamiru na yule mwenye shingo kama korongo?
Labda tujiulize sifa ya kiungo Bora ni zipi,
Kuna viungo Waka Ajax, Kuna viungo wachezeshaji na Kuna viungo wenye sifa zote mbili.
Mzamiru anaangukia kwenye kundi la viungo wakabaji lakini unaweza kulinganisha uwezo wake na Putin?
 
Back
Top Bottom