GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwanza ulishangilia Goli ambalo hukufunga alijifunga Mwanachama Hai wa Yanga SC Beki Andrew Vicent Dante kisha ulipokuwa unakimbia kwenda Jukwaa Kuu alikokuwa amekaa Rais Mstaafu na mwana Yanga SC lia lia Jakaya Mrisho Kkwete ili Ushangilie na Shangilia yako ya Kishamba ukakuta alishaondoka Uwanjani pale Kitambo tu huku akiwa anaitafuta Kerege akielekea Kwake Msoga Chalinze Mkoani Pwani.