kaka-blaza
Member
- Nov 7, 2019
- 96
- 141
sijakataa kuwa kwenye mpira kuna fitna, na hata mimi yule dogo Mateo Anton alinikera sana namna alivyokuwa anacheza. sijui ilikuwa ni siku mbaya kwake kazini au vipi, ila ninachopinga ni kusema lileo gili na chikupe ni la kukusudiaWe hujui fitna za mpira wa bongo ww kaa hvyo hvyo ubingwa unatafutwa kwa njia yoyote ile ila mechi ya jana mchezaji ambae alikuwa anajitoa ni mmoja tu kipwagile basi wengine wote wanamuangalia ww ulitaka,
Mateo Anton
Dante
Kesi
Waikamie kuifunga yanga wakati ni vijana wao wa utotoni hao walikuwa na nafasi ya kushinda jana ila wakamsusia team kipwagile wote.