GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Unaumia ukiwa wapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwanza ulishangilia Goli ambalo hukufunga alijifunga Mwanachama Hai wa Yanga SC Beki Andrew Vicent Dante kisha ulipokuwa unakimbia kwenda Jukwaa Kuu alikokuwa amekaa Rais Mstaafu na mwana Yanga SC lia lia Jakaya Mrisho Kkwete ili Ushangilie na Shangilia yako ya Kishamba ukakuta alishaondoka Uwanjani pale Kitambo tu huku akiwa anaitafuta Kerege akielekea Kwake Msoga Chalinze Mkoani Pwani.
Ahahahhh gent Kam gentaKwanza ulishangilia Goli ambalo hukufunga alijifunga Mwanachama Hai wa Yanga SC Beki Andrew Vicent Dante kisha ulipokuwa unakimbia kwenda Jukwaa Kuu alikokuwa amekaa Rais Mstaafu na mwana Yanga SC lia lia Jakaya Mrisho Kkwete ili Ushangilie na Shangilia yako ya Kishamba ukakuta alishaondoka Uwanjani pale Kitambo tu huku akiwa anaitafuta Kerege akielekea Kwake Msoga Chalinze Mkoani Pwani.
Mambo vipi POPOMA?Kwanza ulishangilia Goli ambalo hukufunga alijifunga Mwanachama Hai wa Yanga SC Beki Andrew Vicent Dante kisha ulipokuwa unakimbia kwenda Jukwaa Kuu alikokuwa amekaa Rais Mstaafu na mwana Yanga SC lia lia Jakaya Mrisho Kkwete ili Ushangilie na Shangilia yako ya Kishamba ukakuta alishaondoka Uwanjani pale Kitambo tu huku akiwa anaitafuta Kerege akielekea Kwake Msoga Chalinze Mkoani Pwani.
Mzee wa kupuyangs hahahaaaaPopoma kazini
Kwahiyo, angegonga mwamba na mpira kuingia golini, na kuwa goli, MWAMBA NDO UNGEKUWA UMEFUNGA GOLI HILO..!?Kwanza ulishangilia Goli ambalo hukufunga alijifunga Mwanachama Hai wa Yanga SC Beki Andrew Vicent Dante kisha ulipokuwa unakimbia kwenda Jukwaa Kuu alikokuwa amekaa Rais Mstaafu na mwana Yanga SC lia lia Jakaya Mrisho Kkwete ili Ushangilie na Shangilia yako ya Kishamba ukakuta alishaondoka Uwanjani pale Kitambo tu huku akiwa anaitafuta Kerege akielekea Kwake Msoga Chalinze Mkoani Pwani.
Na huo mpira huyo beki alishakuwa nao mara ngapi karibu na golini kwake na MBONA HAKUJIFUNGA WAKATI HUO..!?Ushabiki maandazi, mchezaji hawezi kujifunga bila sababu, sababu ni kutaka kuokoa goli lililotaka kufungwa na mayele kisha akafanya mistake, hata Kama asingegusa mpira ulikuwa unaenda kambani.
Kama yeye anaweza sana kufunga angemfunga Diarra,
Umetafuta cha kuongea umekosa ndio umeamua kuleta huu utoporo🤣🤣7️⃣
Msamehe bure huyo ndy mbumbumbu mkuu wa MAPOPOMA wa kihutuKwahiyo, angegonga mwamba na mpira kuingia golini, na kuwa goli, MWAMBA NDO UNGEKUWA UMEFUNGA GOLI HILO..!?
Nimecheka sana haya maneno eti mwanachama hai wa Yanga popoma bhana huwa unachekesha sanaKwanza ulishangilia Goli ambalo hukufunga alijifunga Mwanachama Hai wa Yanga SC Beki Andrew Vicent Dante kisha ulipokuwa unakimbia kwenda Jukwaa Kuu alikokuwa amekaa Rais Mstaafu na mwana Yanga SC lia lia Jakaya Mrisho Kkwete ili Ushangilie na Shangilia yako ya Kishamba ukakuta alishaondoka Uwanjani pale Kitambo tu huku akiwa anaitafuta Kerege akielekea Kwake Msoga Chalinze Mkoani Pwani.
sio kwamba nakubaliana na hoja ya mtoa mada hapo juu hapana, ila nataka nikusahihishe kitu kimoja.Ushabiki maandazi, mchezaji hawezi kujifunga bila sababu, sababu ni kutaka kuokoa goli lililotaka kufungwa na mayele kisha akafanya mistake, hata Kama asingegusa mpira ulikuwa unaenda kambani.
Kama yeye anaweza sana kufunga angemfunga Diarra,
Umetafuta cha kuongea umekosa ndio umeamua kuleta huu utoporo[emoji1787][emoji1787][emoji2395]
ona sasa mawazo kama haya. hivi ina maana lile goli la dante kajifungwa kwa makusudi kweli?Dante kajifunga halafu kesi katoa pasi kama mara mbili hvi kwa mchezaji wa yanga nikajua tu hapa mlungula ushatembea
We hujui fitna za mpira wa bongo ww kaa hvyo hvyo ubingwa unatafutwa kwa njia yoyote ile ila mechi ya jana mchezaji ambae alikuwa anajitoa ni mmoja tu kipwagile basi wengine wote wanamuangalia ww ulitaka,ona sasa mawazo kama haya. hivi ina maana lile goli la dante kajifungwa kwa makusudi kweli?