Mayele sio wa kwanza kutogusa mpira

Mayele sio wa kwanza kutogusa mpira

Song of Solomon

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2021
Posts
2,752
Reaction score
5,609
Kilichomtokea Fiston Mayele jana sio kigeni kwenye ulimwengu wa soka hasa ukiwa mchezaji no 9 asilia. Siku hazifanani na jana siku nzuri iligoma kuwa upande wa Fiston.

Wakati Congo wanaongoza goal 3-1.
Dakika ya 88 mwalimu alimtoa muuaji Cedric Bakambu aliyefunga goal la pili, akamuingiza Fiston Mayele. Mayele alicheza hadi dakika ya 95 mpira ulipotamatika.

Lakini tukio la kuhuzunisha ilkuwa ni yeye kutokugusa mpira kwa dakika 7 alizoshiriki mchezo. Yeye sio wa kwanza. Haya matukio ya wachezaji wakubwa kugusa mipira mara chache imewatokea wengi duniani.

February 20th 2022 kwenye mechi kati ya Crystal palace na Chelsea. Romelu Lukaku akiwa Chelsea aligusa mpira mara 7 tu kwa dakika zote 90. Dakika 45 kipindi cha kwanza aligusa mara 1 pekee.

Chelsea walishinda 1-0 mechi hii. Shukrani kwa goal la Hakim Ziyech.

Tarehe 13rd August 2022 mechi kati ya Bournemouth dhidi ya mancity. City walishinda goal 4-0. Lakini tukio lililoistua dunia ni Herling Halaand kugusa mpira mara 8 tu kwa dakika 90 alizocheza.

Hii ni mifano hai michache kati ya mingi inayopatikana kwenye maktaba za soka.

Hivyo Mayele kutogusa kabisa mpira kwa dakika 7 alizoingia jana sio kitu cha kushangaza. Ukiwa mchezaji no 9 kuna siku huduma hazifiki mara kwa mara kwako. Timu pinzani zinaziba mianya na njia zote za mipira kukufikia.

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Tunaelewa mchezaji kuingia dakika za mwishoni nafasi ya yeye kutogusa mpira ni kubwa

Hilo linafahamika

Ishu ni nyie mashabiki mlivyokuwa mkimpigia promo ambayo mlitaka kila mtu amtazame mchezaji wenu katika daraja lake la kipekee.

Sasa inapotokea situation kama hiyo ya mchezaji wenu mliye mtambia kutogusa mpira, kwenu inakuwa kama ni tusi na ndio hapo mnapoanza kutafuta mifano ya Chelsea na Crystal Palace ili kumtetea ionekane kawaida.
 
------------------------------------------

Duu kumbe hakugusa mpira. Niliona uzi huku jamaa akimsifia kwamba aingizwe nikajua kwamba labda alifunga Goli.

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Tunaelewa mchezaji kuingia dakika za mwishoni nafasi ya yeye kutogusa mpira ni kubwa

Hilo linafahamika

Ishu ni nyie mashabiki mlivyokuwa mkimpigia promo ambayo mlitaka kila mtu amtazame mchezaji wenu katika daraja lake la kipekee.

Sasa inapotokea situation kama hiyo ya mchezaji wenu mliye mtambia kutogusa mpira, kwenu inakuwa kama ni tusi na ndio hapo mnapoanza kutafuta mifano ya Chelsea na Crystal Palace ili kumtetea ionekane kawaida.
Scars umekuwa ukiandika negative sana kuhusu YANGA na Wachezaji wake kwanini mkuu?

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Ni kawaida sana 7mins ni muda mfupi ingekuwa kwa dakika 90 halafu hajagusa hapo ingetia shaka.
 
------------------------------------------

Kilichomtokea Fiston Mayele jana sio kigeni kwenye ulimwengu wa soka hasa ukiwa mchezaji no 9 asilia. Siku hazifanani na jana siku nzuri iligoma kuwa upande wa Fiston.

Wakati Congo wanaongoza goal 3-1.
Dakika ya 88 mwalimu alimtoa muuaji Cedric Bakambu aliyefunga goal la pili, akamuingiza Fiston Mayele. Mayele alicheza hadi dakika ya 95 mpira ulipotamatika.

Lakini tukio la kuhuzunisha ilkuwa ni yeye kutokugusa mpira kwa dakika 7 alizoshiriki mchezo. Yeye sio wa kwanza. Haya matukio ya wachezaji wakubwa kugusa mipira mara chache imewatokea wengi duniani.

February 20th 2022 kwenye mechi kati ya Crystal palace na Chelsea. Romelu Lukaku akiwa Chelsea aligusa mpira mara 7 tu kwa dakika zote 90. Dakika 45 kipindi cha kwanza aligusa mara 1 pekee.

Chelsea walishinda 1-0 mechi hii. Shukrani kwa goal la Hakim Ziyech.

Tarehe 13rd August 2022 mechi kati ya Bournemouth dhidi ya mancity. City walishinda goal 4-0. Lakini tukio lililoistua dunia ni Herling Halaand kugusa mpira mara 8 tu kwa dakika 90 alizocheza.

Hii ni mifano hai michache kati ya mingi inayopatikana kwenye maktaba za soka.

Hivyo Mayele kutogusa kabisa mpira kwa dakika 7 alizoingia jana sio kitu cha kushangaza. Ukiwa mchezaji no 9 kuna siku huduma hazifiki mara kwa mara kwako. Timu pinzani zinaziba mianya na njia zote za mipira kukufikia.

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Mbona unamtetea sana
 
Sidhani hata kama hii ilitakiwa iwe hoja,unless ni kufurahisha genge tu
 
Tunaelewa mchezaji kuingia dakika za mwishoni nafasi ya yeye kutogusa mpira ni kubwa

Hilo linafahamika

Ishu ni nyie mashabiki mlivyokuwa mkimpigia promo ambayo mlitaka kila mtu amtazame mchezaji wenu katika daraja lake la kipekee.

Sasa inapotokea situation kama hiyo ya mchezaji wenu mliye mtambia kutogusa mpira, kwenu inakuwa kama ni tusi na ndio hapo mnapoanza kutafuta mifano ya Chelsea na Crystal Palace ili kumtetea ionekane kawaida.
Na cha kushangaza zaidi mifano iliyotumika actually ni ya wachezaji waliogusa mipira!
 
Back
Top Bottom