NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Ha ha ha jf ni kichaa.Saido tayari yupo timu kubwa, hawezi kuondoka. Wachezaji wakubwa hawawezi kukaa katika timu ndogo ndogo, watalazimisha waondoke tu
Hata hivyo kawafanikisha na pesa.Kwa mara ya kwanza Tanzania yamefanyika majadiliano ya kisasa.HONGERENI KWA MPUNGA MREFU WANA NDALA.Utopolo the end of eraaa.80%ya mafanikio ya ndugu zetu hawa alikua ni mayele.asipokuwepo mayele feisal ndio alikua anawabeba.now kwishney
Hivi unajua nonda shaaban na jembe ulaya waliondokaje pale utopoloni?Yanga hawana shida wanauza tu
Shida IPO kwa ile team yule chama cha mapinduzi aliposepa tu mbona watu walilala njaa
Na anatupa nyundo haswa akichangia.Anaacha makovu kama jina lake.Dah...😃
Kwenye nyuzi za Yanga huwa siridhiki mpaka nione Scars amechangia hapo ndiyo naona kweli uzi umekamilika na nimeusoma😃
Unaniuliza au unajibu?Hivi unajua nonda shaaban na jembe ulaya waliondokaje pale utopoloni?
Umeongea vyema ukaharibu ulipomtaja MAKAMBO.Nataka niongee suala moja kumhusu mayele.
YANGA tuko imara sana na tulishajiandaa tangu zamani kwamba mayele hatutakua nae msimu ujao.
Hizi habari za kumuongezea mkataba na kumboreshea maslahi zilikuwa ni janja janja tu ili tusitoke mchezoni ila ilikuwa ngumu kumbakisha mayele yanga kwa kiwango alichokionesha msimu ulioisha ligi kuu na kimataifa.
Hivyo basi mimi kama mshabiki muandamizi wa young africans sports club namtakia kheri tele na fanaka katika majukumu yake mapya kama walimwengu wasemavyo.
Hatupaswi kuwaonesha kwamba habari hizi zimetuvuruga balinipart ya maisha ya yanga maana walikuwepo wazuri zaidi yake wakaondoka na watakuja wazuri zaidi yake na wataondoka.
Kinachotakiwa tusiwe kama makolo kwamba mchezaji huko alipo ngangania kwenda akifeli basi dampo liwe sisi.
Maendeleo Yamechelewa Sababu Ni YeyeBroo usipokee hela kwa shingo upande,😂😂😂😂😂
Mnafurahia mayele kusepa YANGA ILA MNACHUKIA KUUZWA BILION 2...kolo ni kolo tuDunia ya sasa danganya uumbuke. Vina muda basii. Huyo meneja wake hajawahi kusema kuna ofa imepelekwa Yanga
Yanga Kuna Tabu SanaNa mihogo
Wana uchungu yani msiba bado mbichi japo wamepata rambirambi nyingi...Scars Kalpana cocastic OKW BOBAN SUNZU soma hiyoooooooo......
Hatimaye Uto...wameingiza mpunga mrefu...hongera kwao
Mayele na kikosi kizima kilikuwepo, halafu Simba tukachezesha golikipa # 3 na bado tukawakanda na kuwapigia mpira wa kikubwa. Tunataka awepo ili msiwe na kisingizio.Mnafurahia mayele kusepa YANGA ILA MNACHUKIA KUUZWA BILION 2...kolo ni kolo tu
Daaah ule ukandaji hata chapati zile za mashariki ya kati ni nafuu ukandwaji wake...Mayele na kikosi kizima kilikuwepo, halafu Simba tukachezesha golikipa # 3 na bado tukawakanda na kuwapigia mpira wa kikubwa. Tunataka awepo ili msiwe na kisingizio.
Wanajisahaulisha sana. Sindano iliingia hadi propesa wao akakumbuka kumbe anajua kiswahiliDaaah ule ukandaji hata chapati zile za mashariki ya kati ni nafuu ukandwaji wake...
Wewe chizi kweli. Siku ile ya report ya yanga uliona hela ile 200m tu2B kama za faisal
Wapi nimemtaja makamboUmeongea vyema ukaharibu ulipomtaja MAKAMBO.
Mi nikajua unao uthibitisho wa mkopo husika kumbe ni wale wale wapiga ramli!Muulize hersi
Hiyo 270 hela ya lunch Moja Simba pale uturukiSababu alikuwa na mkataba wa mwaka mmoja na Yanga,mwenye maamuzi ya mwisho ni Yanga. Nilisikia tetesi Pyramid walikuja Tz wao wenyewe kuongea na Yanga.
Kwa hiyo nyie Kolo FC mnacho chukia kusikia Yanga kalipwa 2bil ila mmefurahi Mayele kuuzwa. Ndio mpira ulivyo mchezaji akitaka kumove KAMA procedures,makubaliano yame fikiwa kila pande imerizika mnafanya biashara.
Na kama hujui kwa Fei Yanga kakunja 270m uchukie na hapo.
Kaipaisha wapi kushiriki kombe la vilaza tena finali na timu iliyotaka kushuka darajaNashauri pesa asilimia 50 apewe gsm kwa bile jamaa ameipaisha sna yanga
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kama ingekuwa hivyo mngekuwa tayari mshamlipa Sawadogo na Okwa .Hiyo 270 hela ya lunch Moja Simba pale uturuki
Ingekua hivi Manzoki angekua SimbaHiyo 270 hela ya lunch Moja Simba pale uturuki