Mayele to Pyramid is almost a deal done!

Mayele to Pyramid is almost a deal done!

Utopolo the end of eraaa.80%ya mafanikio ya ndugu zetu hawa alikua ni mayele.asipokuwepo mayele feisal ndio alikua anawabeba.now kwishney
Hata hivyo kawafanikisha na pesa.Kwa mara ya kwanza Tanzania yamefanyika majadiliano ya kisasa.HONGERENI KWA MPUNGA MREFU WANA NDALA.
 
Nataka niongee suala moja kumhusu mayele.
YANGA tuko imara sana na tulishajiandaa tangu zamani kwamba mayele hatutakua nae msimu ujao.
Hizi habari za kumuongezea mkataba na kumboreshea maslahi zilikuwa ni janja janja tu ili tusitoke mchezoni ila ilikuwa ngumu kumbakisha mayele yanga kwa kiwango alichokionesha msimu ulioisha ligi kuu na kimataifa.
Hivyo basi mimi kama mshabiki muandamizi wa young africans sports club namtakia kheri tele na fanaka katika majukumu yake mapya kama walimwengu wasemavyo.

Hatupaswi kuwaonesha kwamba habari hizi zimetuvuruga balinipart ya maisha ya yanga maana walikuwepo wazuri zaidi yake wakaondoka na watakuja wazuri zaidi yake na wataondoka.
Kinachotakiwa tusiwe kama makolo kwamba mchezaji huko alipo ngangania kwenda akifeli basi dampo liwe sisi.
Umeongea vyema ukaharibu ulipomtaja MAKAMBO.
 
Sababu alikuwa na mkataba wa mwaka mmoja na Yanga,mwenye maamuzi ya mwisho ni Yanga. Nilisikia tetesi Pyramid walikuja Tz wao wenyewe kuongea na Yanga.

Kwa hiyo nyie Kolo FC mnacho chukia kusikia Yanga kalipwa 2bil ila mmefurahi Mayele kuuzwa. Ndio mpira ulivyo mchezaji akitaka kumove KAMA procedures,makubaliano yame fikiwa kila pande imerizika mnafanya biashara.

Na kama hujui kwa Fei Yanga kakunja 270m uchukie na hapo.
Hiyo 270 hela ya lunch Moja Simba pale uturuki
 
Back
Top Bottom