Orlando_
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 662
- 1,209
Mmh Mkuu unajifariji,kazi mnayo!!Yanga ni kubwa kabla yake walikuepo kina lunyamila
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh Mkuu unajifariji,kazi mnayo!!Yanga ni kubwa kabla yake walikuepo kina lunyamila
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Saidoo akitoka hapo labda aende mashujaa maana hata singida hacheziTupe thamani ya saido sokoni kwa sasa bwana mbumbumbu!
Tuseme ni sawa ila hapa mjadala ni Mayele Chief!Simba hadi leo hawana kipa
Kocha hayuko na team
Wachezaji waandamizi wapo mjini dar
Turkey kuna simba B imefata ngada ya mo
Next season kipigo kipo pale pale
Na hatutaki malalamiko kutoka ukoloni huko
Usimwambie yote hayoSasa kipi kimedanganywa kama mkataba wa mwaka mmoja mbona yy mwenyewe ashawahi kuzungumza anamkataba wa mwaka mmoja na Yanga.
So wewe ulicho kasirika Yanga kuchukua 2bil,ila ulicho furahi Mayele kuuzwa.
Sasa kama ujui Fei kauzwa kwa 270m kasirika na hapa.
Halafu kwenye mpira kuna negotiations kati ya timu na mchezaji,then timu na timu, meneja yy atadeal na negotiations kati yake na mchezaji ndipo anaoo husika si timu na timu yy hausiki hapo, mfuatilie hata Frabrizio Romano kidogo utaelewa usajili una fanyikaje.
Sema huku tunakosea wenzetu anaye husika na negotiation ni wakala,ila bongo kama kawaida tumeshindwa kutofautisha role ya wakala,mwanasheria,wakala na meneja.
Ila negotiations kati ya timu na timu ,wakala wa mchezaji hausiki hata kidogo na ndio maana sometimes, mchezaji anaweza kukubaliana na club inayo mtaka,ila hiyo Club inayo mtaka ilashindwa kukubaliana na timu inayo mmiliki.
Dah...😃Mayele alivyoona usajili wa Simba ulivyo mkubwa ameamua kutupa taulo mapema kuepusha lawama maana stori ya wananchi alishawahi kuambiwa kuwa hawa watu ni wepesi mno kusahau
Haraka ya kuwa na kipa ya nini wakati mashindano bado hayajaanza?Simba hadi leo hawana kipa
Kocha hayuko na team
Wachezaji waandamizi wapo mjini dar
Turkey kuna simba B imefata ngada ya mo
Next season kipigo kipo pale pale
Na hatutaki malalamiko kutoka ukoloni huko
Uswahili mwingi and they are not professional wanachotaka nikuharibiana maisha then wakuseme..usipokua namisimamo inakulakwakoSijui wanayanga wanasimulia nini !.maana wanajua kushikilia watu mpaka watoke kwa ngumi kama faisali
Hela ya Burundi hawanaHela ya kumnunua hawana
Ukubwa wake uko wpi sasas hapo?Mfungaji bora 2022/2023
Kiungo bora 2022/2023
Kikosi bora 2022/2023
Fair play 2022/2023
Ndio maana nakuita mnafiki kila siku ulikua unatuamisha Mayele ni mbovu hafikii level ya Kibu kwa hio Pyramid hawajamuona Kibu wakaenda kwa mbovu?Mayele alivyoona usajili wa Simba ulivyo mkubwa ameamua kutupa taulo mapema kuepusha lawama maana stori ya wananchi alishawahi kuambiwa kuwa hawa watu ni wepesi mno kusahau
Nawe uliyesema mchezaji hawezi kuuzwa bei kubwa kwasababu ya umri mkubwa, tuambie kwanini Kibu mwenye umri mdogo kuliko Mayele ameachwa?Ndio maana nakuita mnafiki kila siku ulikua unatuamisha Mayele ni mbovu hafikii level ya Kibu kwa hio Pyramid hawajamuona Kibu wakaenda kwa mbovu?
Unaogea vitu irrelevant umetumia kinywaji gani?Nawe uliyesema mchezaji hawezi kuuzwa bei kubwa kwasababu ya umri mkubwa, tuambie kwanini Kibu mwenye umri mdogo kuliko Mayele ameachwa?
Vinginevyo nawewe ni mnafiki
Wewe ulikuwepo katika hivyo vikao?Kama ni mkopo asingejadiliana na yanga angejadiliana na as vita
Ndiyo. Kama hutaki achaa
Umejuaje kama na hasira au furahaSasa kipi kimedanganywa kama mkataba wa mwaka mmoja mbona yy mwenyewe ashawahi kuzungumza anamkataba wa mwaka mmoja na Yanga.
So wewe ulicho kasirika Yanga kuchukua 2bil,ila ulicho furahi Mayele kuuzwa.
Sasa kama ujui Fei kauzwa kwa 270m kasirika na hapa.
Halafu kwenye mpira kuna negotiations kati ya timu na mchezaji,then timu na timu, meneja yy atadeal na negotiations kati yake na mchezaji ndipo anaoo husika si timu na timu yy hausiki hapo, mfuatilie hata Frabrizio Romano kidogo utaelewa usajili una fanyikaje.
Sema huku tunakosea wenzetu anaye husika na negotiation ni wakala,ila bongo kama kawaida tumeshindwa kutofautisha role ya wakala,mwanasheria,wakala na meneja.
Ila negotiations kati ya timu na timu ,wakala wa mchezaji hausiki hata kidogo na ndio maana sometimes, mchezaji anaweza kukubaliana na club inayo mtaka,ila hiyo Club inayo mtaka ilashindwa kukubaliana na timu inayo mmiliki.
Muulize hersiMkopo wa miaka mingapi mkuu?
Kaka hizo hela una uhakika nazo?Scars Kalpana cocastic OKW BOBAN SUNZU soma hiyoooooooo......
Hatimaye Uto...wameingiza mpunga mrefu...hongera kwao