Mayelle alichagua fedha badala ya furaha.

Mayelle alichagua fedha badala ya furaha.

Yanga imeshatinga robo finali Caf champions, vipi Pyramids? unataka kusema hajutii kuondoka Yanga?
Kwani alipoondoka alijua Yanga itafika robo fainali pyramids haitafika?

Hizi ni argument za kishamba kabisa.
 
Yanga imeshatinga robo finali Caf champions, vipi Pyramids? unataka kusema hajutii kuondoka Yanga?
Kuna wachezaji wa kutafuta sifa na wachezaji wa kutafuta hela. Huwezi kumchagulia Mayele anachotafuta. Karim Benzema, N'Golo Kante, Edouard Mendy, Kalidou Koulibaly, Marcelo Brozovic, Cristiano Ronaldo, Roberto Firmino, Sergej Milinkovic-Savic, Riyad Mahrez, Sadio Mane, Allan Saint-Maximin, Neymar Jr na nyota wengine wengi waliacha vilabu vya Ulaya vyenye majina makubwa yenye sifa za kuweza kuchukua ubingwa, wakaenda Saudi Arabia ambako hakuna mvuto wa watu kuifuatilia ligi ya huko. Hao wote wamefuata hela, halafu wewe upo Buza unampangia Mayele eti acheze Yanga milele bila hela! Hizo sifa mpeni Ngasa, acheni waliofuata hela waendelee kuvuta mpunga
 
soon waarabu watamtupa nje kama walivyomfanya mikison. atarudi hapa mdebwedo na ni simba watamsajili.
Mfumo ulikuwa unambeba Mayelle Yanga. Mfumo ulikuwa unamuwezesha afunge ili apate kiatu Cha ufungaji Bora dhidi ya George mpole na Saido. Ni mfumo ambao uliikosesha timu magoli mengi sana.
 
Hata mimi chaguo langu ni pesa wala si furaha,et tena furaha ya watu wengi!hapana
Kuchagua pesa dhidi ya furaha ndio stage ya chini kabisa ya binadamu. Hii ni Ile stage ya mgonjwa kupenda pesa na machungwa kuliko kadi ya get well soon na maua.
 
Uwe na furaha wakati pesa huna!!,pesa kwanza,mayelle yupo sawa kuchagua alichochagua, yanga mna furaha saizi kwa kuwa wanafanya vizuri
Lakini kama wangekuwa wanafanya vibaya hata huyo mayelle musingewaza kuwa amechagua pesa au furaha
 
Back
Top Bottom