johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Meya wa Kinondoni mh Sitta amesema uongozi wake ulikuwa bega kwa bega na kocha wao Fred Felic Minziro " majeshi" na ulimpa kila aina ya msaada kuhakikisha timu yao inapanda daraja na kushiriki ligi kuu ya Vodacom kwa mara ya kwanza. Meya ameyasema hayo mjini Songea ambapo KMC ilijipatia ushindi na kupata tiketi ya kucheza ligi kuu. Source Clouds Tv!