Mayor Sitta na uongozi wake wafanikisha kuipeleka KMC ligi kuu ya Vodacom!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Meya wa Kinondoni mh Sitta amesema uongozi wake ulikuwa bega kwa bega na kocha wao Fred Felic Minziro " majeshi" na ulimpa kila aina ya msaada kuhakikisha timu yao inapanda daraja na kushiriki ligi kuu ya Vodacom kwa mara ya kwanza. Meya ameyasema hayo mjini Songea ambapo KMC ilijipatia ushindi na kupata tiketi ya kucheza ligi kuu. Source Clouds Tv!
 
Ilala na Temeke wanakushangaa! Unao uwanja?
 
Kwa hiyo wakina chuji walikuwa wasindikizaji? Siasa kila mahali meya wa manchester city kaiwezesha kucheza mpira mzuri kawapa kila kitu
 
Kiki za kilofa, timu haina hata uwanja, then msilete siasa zenu kwny mpira huku.
 
Back
Top Bottom