Hezbollah huwa hawafichi dogo ma commander wao wakiuliwa tena wanaruhusu mpaa video zichukue, sa we jiulize swali kwanini Israel haruhusu media zichukue sehemu zinazo pigwa.
We tazama miji yote inayo shambuliwa tuonyeshwa missiles zimekuwa intercepted, lakini zinazo pita kwenda kwenye target media zote haziruhusiwi kuonyesha.
Hapa we dogo sababu akili zako hata ya njiwa kubwa kwako, sababu angeisha fahamu kwamba Israel huwa hataki kuonyesha aibu zake, anavyo sambaratishwa.
Sa we jiulize anauwa yeye ma commander, mfano mdogo hi week kuwauwa watatu, jumla wamekuwa 5 sa yeye kapoteza Camp za jeshi ngapi na askari wangapi hio ndio point.
Israel yeye ushindi wake ni kujishow off kwenye media, kuwa anauwezo wa kutarget ma commander wa Hezbollah.
n
Hezbollah anajua wazi Israel alivyo vamia Lebanon alichukua data za communication system za Lebanon, na pia kuna wale makhaini wanatoa siri kwa kupewa pesa na Saud Arabia, UAE na Israel.
Hezbollah wanajua hayo na wameanza kutumia technology mpya, itachukua time ku cover sehemu nyingi za Lebanon, sababu Wafaransa walipo jenga Air Port ya Lebnano walipenyesha vifaa vingi vya kuspy Lebano pia, na kuna ndege za UK ziko Cyprus na za US wanaspy na wanawapa details Israel.
Yataisha tu, Hezbollah anayafanyia kazi.
Kwanini asifanikiwe Gaza kuwauwa kina Yahya Sinwar, sababu hana data za communication system za Hamasi, unless apate wale makhaini wanao waonyesha Israel.
Lazima ufahamu unafiki upo kwenye damu za warabu, na wafrica kama utitiri 😆