Maytham al-Attar kiongozi wa Hezboollah auawa na IDF

Israel wapo vizuri kwenye vita vya kumdonoa kiongozi mmoja mmoja
 
Hiyo vita Hezibolah itawagharimu sana, kinachowasukuma ni dini, kikundi hakiwezi kupigana na taifa kama Israel yenye kila kitu, hakuna namna Hezibollah ishinde Izrael yenye ndege bora dunia, Israel yenye jeshi bora dunia, Israel yenye nuclear. Iran anaogopa nini kuingia front dhidi ya Israel? Anataka Warebanon wafe.
 
Jeshi la anga ndio bora na iran anajua hilo Israel hawezi shoo ya iran hapo ni kuchakaza vituo vyote vya ndege zake kwisha kazi
 
Ngoja kwanza
Mpaka sasa pampers teule wameokoa magaidi wao wangapi kule jwa wanaume ghaza?
 
Jeshi la anga ndio bora na iran anajua hilo Israel hawezi shoo ya iran hapo ni kuchakaza vituo vyote vya ndege zake kwisha kazi
Hata hilo jeshi la anga halina ubora wowote ule labda mbele ya ghaza na lebanon
Juzi tu hapa vidrone wameshindwa kuviokota mpaka kasaidiwa na baadhi ya mataifa ya kiarabu
Usrahell wakawaida sana labda wakiwa wanapigana na hospital shule kina mama na watoto hapa hua hawana mpinzani
 
Ndo mnavyodanganyana masjid pumbafuu
 
He will be received by the imaginary 72 egg eyed virgins in the moslem's mythical paradise and will also be enjoying sipping the wine flawing from the mythical rivers in akhera.
No virgins available,all were taken by the previous martyrs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…