Mayweather hutumia mamilioni kubadilisha oil ya gari yake

Pesa zake lakini qatu wanavyotokwa na mapovu humu ndani... mlitaka awagawie? Si anatafuta atumie eti pesa huwa zina mwisho mbayabtafuta na nyie zanu muone mwisho mbaya wake
Guys wanajipa stress ya bure, mtu katafuta mali yake mnaanza kumpangia namna ya kutumia. Watafute mali zao wazitumie the way wanavyoshauri ila sio kupangia watu
 
Ndio akili za kiafrika.
Angekua bilgates ni mtu mweusi nadhani hata kuja Tanzania asingekuja. Watu weusi tuna matatizo ya akili na IQ ndogo.

Mtu mweusi akipata pesa anafikiria starehe na umaarufu, bilgates hatujawahi kusikia anafanya huo ujinga
Kwani george best alikua mweusi?
 
Et kumtukuza mzungu Pumbaav kabisa 99%ya vitu unatumia ni vya wazungu et atakua maskini nanwewe utakua level zingine labda level za kaburi
Wewe ndio walewale tu
Ukipa pesa kidogo shida mtaa
Sasa unachokitetea hapa hata sioni
Wapi umemuona tajiri mwenye akili zake anajipost mtandaoni
Na mamilioni ya pesa?
Ukiona mtu wa hivyo huyo ni mshamba tu na anaroho ya kimasikini

Naamini kufa ni mipango ya shetani tu na sekunde yoyote mtu yoyote anaweza kufa
Lakini hiyo haitufanyi tusiwe na mipango ya baadae
 
Watu wemecoment kwa chuki kisa jamaa yupo juu yao kimaisha. Hahahaa kubalini tu yaishe, hizo kampuni zinazotengeneza magari hayo zitayauza wapi ikiwa kila mmoja atakuwa mchumi? Acheni ushamba.
 
Ninaomba nikumbushe watu kuwa.....

Pesa, Majumba, Magari n.k tutaviacha hapahapa duniani.
Na tunavipata na kuvitumia hapahapa duniani!na ndiyo faida ya kuwepo duniani,thats why we work! Mungu aliumba dunia na vitu ili tukitumie na kuviacha hapahapa duniani ili kuistawisha dunia yake!
 
Me nadhani black america wengi. Ni washamba ushamba wa mtu uko kwenye damu sio sehemu anayoishi washamba wapo kila engo ya dunia
Floyd ni mshamba tu akili ya kimaskini amepata pesa anataka dunia ijue kwamba yeye anazo
Wakati wenye nazo ambao hajawafikia hata robo hawafanyi hivyo
 
Ninaomba nikumbushe watu kuwa.....

Pesa, Majumba, Magari n.k tutaviacha hapahapa duniani.
Umaskini mbaya,tafuteni hela aise ...
Me nadhani black america wengi. Ni washamba ushamba wa mtu uko kwenye damu sio sehemu anayoishi washamba wapo kila engo ya dunia
Floyd ni mshamba tu akili ya kimaskini amepata pesa anataka dunia ijue kwamba yeye anazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…