Jestkilla
JF-Expert Member
- Apr 23, 2014
- 2,999
- 3,960
Aliye kuambia 50 cent kafilisika ni nani?
Hajui 50 cents sasahvi ana mapesa nadhan jay z na Diddy wanajipanga haswa tatizo kukosa info kwa wakat sahihi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliye kuambia 50 cent kafilisika ni nani?
Guys wanajipa stress ya bure, mtu katafuta mali yake mnaanza kumpangia namna ya kutumia. Watafute mali zao wazitumie the way wanavyoshauri ila sio kupangia watuPesa zake lakini qatu wanavyotokwa na mapovu humu ndani... mlitaka awagawie? Si anatafuta atumie eti pesa huwa zina mwisho mbayabtafuta na nyie zanu muone mwisho mbaya wake
Kwani george best alikua mweusi?Ndio akili za kiafrika.
Angekua bilgates ni mtu mweusi nadhani hata kuja Tanzania asingekuja. Watu weusi tuna matatizo ya akili na IQ ndogo.
Mtu mweusi akipata pesa anafikiria starehe na umaarufu, bilgates hatujawahi kusikia anafanya huo ujinga
Well my friend.Me nadhani black america wengi. Ni washamba ushamba wa mtu uko kwenye damu sio sehemu anayoishi washamba wapo kila engo ya dunia
Floyd ni mshamba tu akili ya kimaskini amepata pesa anataka dunia ijue kwamba yeye anazo
Wewe ndio walewale tuEt kumtukuza mzungu Pumbaav kabisa 99%ya vitu unatumia ni vya wazungu et atakua maskini nanwewe utakua level zingine labda level za kaburi
[emoji23][emoji23]Mayweather pesa kidogo tu majigambo na tambo kibao. Zuckerberg bilionea lakin tisheti kila siku hio hio
Kwani we unaonaje mzeeSa sisi tufanyeje kwa mfano
Jay Z na Didy wanajipanga haswa hapa ulimaanisha nini ? Ila sitaki matusi tafadhali shida yangu ni huo upaja tuHajui 50 cents sasahvi ana mapesa nadhan jay z na Diddy wanajipanga haswa tatizo kukosa info kwa wakat sahihi
Kwani we unaonaje mzee
Na tunavipata na kuvitumia hapahapa duniani!na ndiyo faida ya kuwepo duniani,thats why we work! Mungu aliumba dunia na vitu ili tukitumie na kuviacha hapahapa duniani ili kuistawisha dunia yake!Ninaomba nikumbushe watu kuwa.....
Pesa, Majumba, Magari n.k tutaviacha hapahapa duniani.
Unaijua trillion wew au umekunywa mbegeTrillion 7 Daaaahh
Bajet Ya Wizara Fran Nchin
Ndiyo ujue akili ya mzungu na mwafrika ipo tofauti. Ngozi nyeusi ikipata pesa atataka kila mtu amjue hii ni kwasbb ya umasikini wetu tangu zamani.Mbona kina Bill Gates hawafanyi haya mambo
Wakati wenye nazo ambao hajawafikia hata robo hawafanyi hivyoMe nadhani black america wengi. Ni washamba ushamba wa mtu uko kwenye damu sio sehemu anayoishi washamba wapo kila engo ya dunia
Floyd ni mshamba tu akili ya kimaskini amepata pesa anataka dunia ijue kwamba yeye anazo
Umaskini mbaya,tafuteni hela aise ...Ninaomba nikumbushe watu kuwa.....
Pesa, Majumba, Magari n.k tutaviacha hapahapa duniani.
Me nadhani black america wengi. Ni washamba ushamba wa mtu uko kwenye damu sio sehemu anayoishi washamba wapo kila engo ya dunia
Floyd ni mshamba tu akili ya kimaskini amepata pesa anataka dunia ijue kwamba yeye anazo