Sawa Mkuu lakini nami pia naweza kabisa kutofautiana nao hata kama wanaona ushindi huo ni halali. Maywehather alikuwa bado ana hasira ya kupigwa ndoo na kuchanika mdomo, hivyo wakati Ortiz bado anamuomba samahani kwa kumpiga ndoo yeye akatumia nafasi hiyo ya kumuona Ortiz hajawa tayari na hana ulinzi wowote usoni kumtandika ngumi mbili nzito ambazo zimemaliza pambano.
BAK, jamaa wanazungumzia rookie mistakes
we have seen in car race (last week alonso alichomoka wakati vettel na lewis wanakata viuno
we have seen in football freekicks -- many times (remember Thierry Henry Vs. Chelsea or Manure?
we have seen it in boxing many time before (remember patterson in late eighties?)
we have seen in basketball many times before
Boxing like any other sport is intelligent and winning takes more than speed and punches --- kama unesikia leo comments walikua wanarudia sana kusema ortiz is not used to be half a second slower....
Let me tell you bro, every game is playing with rules, otherwise wangemdisqualify , they didnt why? coz he was within rules.... and boxing sio tennis where one can make mistake na kusema "fault" au net etc
we can agree to disagree, ila kama unaweza kwenye espen kuna classic boxing series kuanzia 1930s take time to learn boxing badala ya kupenda mchezo emotionally and forget there are rules to every game
I didnt like the end but i saw mayweather ninayempenda, total control... all rounds giving a kid some classes about defence, tactics and taut
najua wengi hapa kama kutakua na mayweather/pacman fight watahamia kwa pacman... i will remain mayweather for only one reason, intelligency ya mayweather... you can use that to teach your kids about a normal life in a special way
the dude eats macdonalds even a three days before the bout, weird workout session, 100 jabs after a night out with chicks etc
i see him like a person who always have fun but scores A in every subject
lest not forget, he has never lost a fight 40+ jamani, its not easy in that weight category kamwe.... kama kuna yeyote aliyewahi kufika hiyo rekodi mie sijui
LETS NOT PLAY A HATER