Mayweather vs Ortiz

Mayweather vs Ortiz

Jamaa si mwoga. Pac akubali vipimo , pambano lipigwe
 
sijapenda mayweather alivyomjibu intervewer kabis
 
Huu upumbavu mtupu. Refa hakusema fight iendelee jamaa kamvizia wanapeana mikono.

Nakubaliana kabisa nawe AW, mimi ni mpenzi mkubwa wa Mayweather lakini hili pambano la leo usanii mtupu. Ushindi huu kwangu mimi pamoja na kuwa ni mpenzi wa Mayweather una dosari.
 
BAK, please listen to the comentators wanaijadili.... HBO/PPV

au tusubiri verdict
 
Sawa Mkuu lakini nami pia naweza kabisa kutofautiana nao hata kama wanaona ushindi huo ni halali. Maywehather alikuwa bado ana hasira ya kupigwa ndoo na kuchanika mdomo, hivyo wakati Ortiz bado anamuomba samahani kwa kumpiga ndoo yeye akatumia nafasi hiyo ya kumuona Ortiz hajawa tayari na hana ulinzi wowote usoni kumtandika ngumi mbili nzito ambazo zimemaliza pambano.
 
wenger please

Jmaa muoga kwa Pac Man , huo ndio ukweli. Yeye si anajita Floyd "Money"
Mayweather? Kwanini anakimbia hela sasa kwa sababu za kijinga? Inamana fight zote alizopigana Pac Man hakupigana kwa kufuata sheria?
 
Ndilo kosa alilofanya Ortiz, hakuna kurelax kwenye pambano, protect yourself at all times!! Maana Ref alishaaalow box..
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ukikubali au usipokubali, does not change anything. The record is now 42-0.
 
Sawa Mkuu lakini nami pia naweza kabisa kutofautiana nao hata kama wanaona ushindi huo ni halali. Maywehather alikuwa bado ana hasira ya kupigwa ndoo na kuchanika mdomo, hivyo wakati Ortiz bado anamuomba samahani kwa kumpiga ndoo yeye akatumia nafasi hiyo ya kumuona Ortiz hajawa tayari na hana ulinzi wowote usoni kumtandika ngumi mbili nzito ambazo zimemaliza pambano.
BAK, jamaa wanazungumzia rookie mistakes

we have seen in car race (last week alonso alichomoka wakati vettel na lewis wanakata viuno
we have seen in football freekicks -- many times (remember Thierry Henry Vs. Chelsea or Manure?
we have seen it in boxing many time before (remember patterson in late eighties?)
we have seen in basketball many times before

Boxing like any other sport is intelligent and winning takes more than speed and punches --- kama unesikia leo comments walikua wanarudia sana kusema ortiz is not used to be half a second slower....

Let me tell you bro, every game is playing with rules, otherwise wangemdisqualify , they didnt why? coz he was within rules.... and boxing sio tennis where one can make mistake na kusema "fault" au net etc

we can agree to disagree, ila kama unaweza kwenye espen kuna classic boxing series kuanzia 1930s take time to learn boxing badala ya kupenda mchezo emotionally and forget there are rules to every game

I didnt like the end but i saw mayweather ninayempenda, total control... all rounds giving a kid some classes about defence, tactics and taut

najua wengi hapa kama kutakua na mayweather/pacman fight watahamia kwa pacman... i will remain mayweather for only one reason, intelligency ya mayweather... you can use that to teach your kids about a normal life in a special way

the dude eats macdonalds even a three days before the bout, weird workout session, 100 jabs after a night out with chicks etc

i see him like a person who always have fun but scores A in every subject

lest not forget, he has never lost a fight 40+ jamani, its not easy in that weight category kamwe.... kama kuna yeyote aliyewahi kufika hiyo rekodi mie sijui

LETS NOT PLAY A HATER
 
In the words of the Great Mark Jackson.."Hands down-Man down..MaMa there goes that Man..#Mayweather(No doubt!!)
LImbani......... i take this one and stick it to my office wall, moneyman mayweather rainman

boxing ni zaidi ya ngumi, ni brains @ work
 
Jmaa muoga kwa Pac Man , huo ndio ukweli. Yeye si anajita Floyd "Money"
Mayweather? Kwanini anakimbia hela sasa kwa sababu za kijinga? Inamana fight zote alizopigana Pac Man hakupigana kwa kufuata sheria?
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

kweli unahitaji somo la boxing au kitabu cha BOXING MADE SIMPLE, LOL

Ungejua hizo dawa zinatumikaje wala usingesema, they are used before na badae wana-clean kwa therapy ndio maana mayweather alizungumzia randoma sampling... hata wanariadha wanafanya hivyo and some rugby player (it is thought to be in every sport, its just the timing that makes one sport more prone than the other)

kuitwa money hakuna maana wewe kila kwenye pesa ndefu ndio unarukia.... as i said before, boxing is not an emotional sport, if you are a boxer and becomes emotional utashindwa tu

Pacman is one of the greatest, but rest assured, it wont be easy (or he is not sure if beating mayweather) ni hadi wapigane... and mayweather ana advantage ya reach na stamina pamoja na shoulder defence ambayo yeye anaweza ku-counter na pace and resilience (plus in-fight). but the best formula can only be known once they fight
 
Mkuu Pacman kafikaje pale halipo? inamana sheria za vipimo hazifanyiki kwake?

Hakuna kuhitaji kitabu cha "boxing for dummies" hili nitambue kwanini Pac man kafika aple hallipo.

Jamaa muoga na ndio maana anaogopa kuaibishwa. Huo ndio ukweli na siku itafika tutakuwepo hapa Mungu akijalia na nitakukumbusha tena.
 
Back
Top Bottom