Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
safi sana............ mtaa anauweza, na boxing anaiweza
bravo mayweather, hit them up
Mkuu hakuna safi hapo... kuwa mkweli kidogo jamaa kaiba hio .
Si unaona ulingo una mzomea wote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
safi sana............ mtaa anauweza, na boxing anaiweza
bravo mayweather, hit them up
Huu upumbavu mtupu. Refa hakusema fight iendelee jamaa kamvizia wanapeana mikono.
kwa upumbavu yes, but kwa boxing noMayweather mpumbavu tu.
Jamaa si mwoga. Pac akubali vipimo , pambano lipigwe
BAK, please listen to the comentators wanaijadili.... HBO/PPVNakubaliana kabisa nawe AW, mimi ni mpenzi mkubwa wa Mayweather lakini hili pambano la leo usanii mtupu. Ushindi huu kwangu mimi pamoja na kuwa ni mpenzi wa Mayweather una dosari.
wenger pleaseVipimo kwenye bondia vyote ni sawa hakuna vipimo special vya kupigana na mayweather.
Jamaa muoga.
BAK, please listen to the comentators wanaijadili.... HBO/PPV
au tusubiri verdict
BAK, please listen to the comentators wanaijadili.... HBO/PPV
au tusubiri verdict
wenger please
Sawa Mkuu lakini nami pia naweza kabisa kutofautiana nao hata kama wanaona ushindi huo ni halali. Maywehather alikuwa bado ana hasira ya kupigwa ndoo na kuchanika mdomo, hivyo wakati Ortiz bado anamuomba samahani kwa kumpiga ndoo yeye akatumia nafasi hiyo ya kumuona Ortiz hajawa tayari na hana ulinzi wowote usoni kumtandika ngumi mbili nzito ambazo zimemaliza pambano.
BAK, jamaa wanazungumzia rookie mistakesSawa Mkuu lakini nami pia naweza kabisa kutofautiana nao hata kama wanaona ushindi huo ni halali. Maywehather alikuwa bado ana hasira ya kupigwa ndoo na kuchanika mdomo, hivyo wakati Ortiz bado anamuomba samahani kwa kumpiga ndoo yeye akatumia nafasi hiyo ya kumuona Ortiz hajawa tayari na hana ulinzi wowote usoni kumtandika ngumi mbili nzito ambazo zimemaliza pambano.
LImbani......... i take this one and stick it to my office wall, moneyman mayweather rainmanIn the words of the Great Mark Jackson.."Hands down-Man down..MaMa there goes that Man..#Mayweather(No doubt!!)
the best pound for pound everUkikubali au usipokubali, does not change anything. The record is now 42-0.
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaJmaa muoga kwa Pac Man , huo ndio ukweli. Yeye si anajita Floyd "Money"
Mayweather? Kwanini anakimbia hela sasa kwa sababu za kijinga? Inamana fight zote alizopigana Pac Man hakupigana kwa kufuata sheria?
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
kweli unahitaji somo la boxing au kitabu cha BOXING MADE SIMPLE, LOL
Ungejua hizo dawa zinatumikaje wala usingesema, they are used before na badae wana-clean kwa therapy ndio maana mayweather alizungumzia randoma sampling... hata wanariadha wanafanya hivyo and some rugby player (it is thought to be in every sport, its just the timing that makes one sport more prone than the other)
kuitwa money hakuna maana wewe kila kwenye pesa ndefu ndio unarukia.... as i said before, boxing is not an emotional sport, if you are a boxer and becomes emotional utashindwa tu
Pacman is one of the greatest, but rest assured, it wont be easy (or he is not sure if beating mayweather) ni hadi wapigane... and mayweather ana advantage ya reach na stamina pamoja na shoulder defence ambayo yeye anaweza ku-counter na pace and resilience (plus in-fight). but the best formula can only be known once they fight