MAYWEATHER vs PACQUIAO - (02 MAY 2015): NANI ATATOKA SHUJAA ???

Hao waliomkabili my wanasura za harusini ila sasa hao wa pac sasa utazani kibaka kakutana na raia wenye hasira
 
Hapa mmoja akigeza uchezaji wa mwingine kachapwa.

Pac yey mtu wa speed piga nikupige May yey mtu wa timing..

Sasa May akisema afanye piga nikupige atakalishw mapema, Pac naye akisema afanye timing atapigwa.

Ila kama kila mtu atacheza mchezo wake mechi itakuwa tamu sana.

Maidana na De la hoya wlijaribu hiyo ya pigapiga sana lakini wakaambulia patupu

Tatizo maywather anafanya wapinzani wake wapigane anavyotaka yeye kwa ile timing na kimbia kimbia yake
 
Yeah, analazimsha wacheze mchezo anaoutaka hii akifanikisha kwa Pac atakuwa na advantage ya kumshusha morale yake
 
pakiao anauwezo wa kupiga ngumi 38 ndani ya dakika 1 bila shaka atamkalisha mayweather
 
Akifanya hivyo yanaweza kumkuta kama ya De la hoya

Tatizo sio kurusha ngumi tatizo ni je zitapata point
Kumbuka Maywather ni bingwa wa kucheza na score card

Binafsi naona option pekee ya kumpiga may ni KO
 
Tukitazama upande wa skillz....Mayweather kwenye defence yuko vyema sana..na ni mwepesi wa kurusha jab na lefthook kwa haraka sana kila apatapo nafasi ya kufanya hivyo....pia ana mashambulizi ya kushitukiza akitumia lef hook na short right hook bila kusahau pia mzuri kwenye uppercut na lowcut kwa mbali na kwa haraka saa.....
Ukimtazama Pacman kwenye defence siyo mzuri ana uwezo wa ajabu wa kurusha lefthook na jab katika kasi ya ajabu sana jambo linalomfanya kumpa wakati mgumu mpinzani asimkaribie huku yeye akishambulia...bado siyo mzuri katika kupiga mapigo ya uppercut na lowcut....na ukitazama kwa makini mapambano mengi PACMAN ameshinda kwa hook ya kulia au kushoto......
Unaweza ukaona ni jinsi pambano litakuwa gumu kwa pande zote mbili.
 
Kwa mara ya kwanza mywether atapigana kwa hofu kuu.....sababu ni hizo ulizotaja za pacman
 
Katika mchezo wa ngumi kitu cha muhimu ni defence skills...ukiwa mzuri kwenye defence itakufanya uwe huru ulingoni na hutumii nguvu kwenye kushambulia kwani mashambulizi mengi utayafanya wakati adui akiwa anakufata hapo ulipo.....tofauti na bondia ambaye uwezo wake wa kujilinda upo chini ambapo itampasa atumie muda mwingi kurusha ngumi kama njia pekee ya kumfanya mpinzani wake asimfikie karibu....hali inayopelekea kupoteza nguvu nyingi sana hasa hasa katika hatua za mwanzo za pambano....hiyo hupelekea kupoteza umakini..na kumfanya mpinzani wake atawale mchezo katika kipindi kilichosalia......uzuri wa mabondia hawa mara nyingi huwa wanashinda kwa K.O kwa kuwa kila wakipata nafasi huwa wanarusha ngumi nyingi sana kwa wakati mmoja......bado ni vigumu kumtabiri mshindi....
 
Kwa mara ya kwanza mywether atapigana kwa hofu kuu.....sababu ni hizo ulizotaja za pacman

Ukitazama aina ya uchezaji wa PACMAN hauna tofauti sana na MAIDANA au MARQUES....ambao wote kwa pamoja wana sifa ya kutupa ngumi za kasi sana...lakini kibaya ni kuwa mabondia wa aina hiyo huwa ngumi zao hazifikii lengo kwa hiyo hupotelea hewani....na ndio sababu kubwa inayofanya MAYWEATHER ashinde mapambano hayo.....
 
Kutupa ngumi nyingi kama bakora hakumfanyi bondia kujihakikishia ushindi....kwa wale
mnaokumbuka lile pambano la PACMAN na MARQUES....Muda mfupi kabla ya pambano kuisha pacman alikuwa ametupa ngumo nyingi sana lakini zikawa out of target....lakini low cutt moja ya MARQUES iliyofikia target pale alipo pataka yeye ndio iliyoamua mshindi wa pambano.......
 
Oya mi nataka ku bet kete yangu nampa My kama yupo tayari tunatuma hela kwa Invisible kama dau kwa ambaye atampa Pac? Kubeti sio mpirq tu wengine hatushabikii mipira.
 
Last edited by a moderator:
Tukitazama upande wa skillz....Mayweather kwenye defence yuko vyema sana..na ni mwepesi wa kurusha jab na lefthook kwa haraka sana kila apatapo nafasi ya kufanya hivyo....pia ana mashambulizi ya kushitukiza akitumia lef hook na short right hook bila kusahau pia mzuri kwenye uppercut na lowcut kwa mbali na kwa haraka saa.....
Ukimtazama Pacman kwenye defence siyo mzuri ana uwezo wa ajabu wa kurusha lefthook na jab katika kasi ya ajabu sana jambo linalomfanya kumpa wakati mgumu mpinzani asimkaribie huku yeye akishambulia...bado siyo mzuri katika kupiga mapigo ya uppercut na lowcut....na ukitazama kwa makini mapambano mengi PACMAN ameshinda kwa hook ya kulia au kushoto......
Unaweza ukaona ni jinsi pambano litakuwa gumu kwa pande zote mbili.

Tatizo la Pacman akidhibitiwa ujanja wake wa ngumu za haraka haraka anakosa mwekekeo aka plan b
Na anachokifanyaga Maymoney ni kuzuia na kukwepa sana na hii hufanya wapinzani wake wapigane anavyotaka yeye then aanze kudokoa( maana may sikuhizi hana punch za nguvu zaidi ya kutafuta point)

Pac ana wakati mgumu zaidi
 
pakiao anauwezo wa kupiga ngumi 38 ndani ya dakika 1 bila shaka atamkalisha mayweather

Mayweather anauwezo wa kudefend wa hali ya juu, atamwacha arushe makonde weee, round ya tatu au ya nne anamaliza kazi!
 
Mayweather anapewa pesa ndefu ili akajifariji baada ya kipondo
 
Back
Top Bottom