Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 5,988
- 6,226
Times will tell-Mayw anakazi ya ziada Pacq shauri nyengine...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marquez siyo counterpuncher kama Mayweather hiyo ni kweli kabisa.Ila ukiangalia lile pambano Pacquiao alikuwa anaongoza raundi zote. Ila Marquez sijui alipata wapi wazo la kujibadili na kuwa counterpuncher, mimi naweza sema ni uzoefu tu akamvizia na Pacquiao akaingia kwenye mtego pambano na likaisha.
Juan Manuel Márquez - Wikipedia, the free encyclopedia
Pitia hiyo kaka. Marquez ni defensive counter-puncher. Tuna reference points za kutosha sana kujifunza mambo mbalimbali. Na Marquez alipigana mara nne na Pacman, 2, 1 draw na Marquez akashinda 1. Kwenye boxing kuna usemi unaenda namna hii, ''Styles make fights'' (Styles make fights: A brief history lesson). Jumapili sio mbali. Tusubiri tuone pambano. Maneno zaidi yatakuja baada ya mtanange.
Hapa mmoja akigeza uchezaji wa mwingine kachapwa.
Pac yey mtu wa speed piga nikupige May yey mtu wa timing..
Sasa May akisema afanye piga nikupige atakalishw mapema, Pac naye akisema afanye timing atapigwa.
Ila kama kila mtu atacheza mchezo wake mechi itakuwa tamu sana.
Ila kama Pacquiao akisema awe anasubiri kuzunguka kama Mayweather, pambano litakuwa baya na watu hawatachelewa kuanza kuzomea.
Rocky Marciano alijiuzulu ndondi bila kupigwa-Mayweather anataka kufanya hivyohivyoMimi mkuu naamini kwenye hili pambano yeyote kati yao anaweza kushinda sababu wote ni mabondia wazuri. Ila nina wasiwasi Mayweather anaweza kulifanya hili pambano likawa baya kutokana na kuwa mwangalifu na kumsubiri Pacquiao amfate. Mayweather pia tukubali ni bondia anayetumia akili sana.
Mayweather anakwenda kulinda rekodi yake na atafanya kila awezalo asishindwe. lakini pia kwenye historia ya ngumi hakuna bondia aliyemaliza ngumi bila kupigwa. Hivyo lolote linaweza tokea.
Ila kama Pacquiao akisema awe anasubiri kuzunguka kama Mayweather, pambano litakuwa baya na watu hawatachelewa kuanza kuzomea.
Rocky Marciano alijiuzulu ndondi bila kupigwa-Mayweather anataka kufanya hivyohivyo
Mkuu, Manpaq namfananisha na Jorge Paez, hana muda wa kusubiri mpinzan amfuate. Kazi yake ni kurusha makonde mfululizo.
Hii itapelekea May kutandikwa kwa TKO.
Nataman siku ya pambano tupeane updates hapahapa.
Nahisi SS2 mkuu lazima waonyeshe.