MAYWEATHER vs PACQUIAO - (02 MAY 2015): NANI ATATOKA SHUJAA ???

MAYWEATHER vs PACQUIAO - (02 MAY 2015): NANI ATATOKA SHUJAA ???

Marquez siyo counterpuncher kama Mayweather hiyo ni kweli kabisa.Ila ukiangalia lile pambano Pacquiao alikuwa anaongoza raundi zote. Ila Marquez sijui alipata wapi wazo la kujibadili na kuwa counterpuncher, mimi naweza sema ni uzoefu tu akamvizia na Pacquiao akaingia kwenye mtego pambano na likaisha.

Lilikuwa pambano lao la nne....wameshazoeana....ukiacha hiyo mywether hana power punch kali...anaweza akampatia lakini asimuangushe. Habari za hivi punde kutoka kwa Fried Roach anasema mywether anaweza asitokee kupigana.....kwani amekuwa kimya sana tafauti na mapambano mengine ambayo alikuwa anachagua opponent. Hili ndilo pambano gumu zaidi kwa mywether katika yote 47.
 
Hapa mmoja akigeza uchezaji wa mwingine kachapwa.

Pac yey mtu wa speed piga nikupige May yey mtu wa timing..

Sasa May akisema afanye piga nikupige atakalishw mapema, Pac naye akisema afanye timing atapigwa.

Ila kama kila mtu atacheza mchezo wake mechi itakuwa tamu sana.
 
Juan Manuel Márquez - Wikipedia, the free encyclopedia
Pitia hiyo kaka. Marquez ni defensive counter-puncher. Tuna reference points za kutosha sana kujifunza mambo mbalimbali. Na Marquez alipigana mara nne na Pacman, 2, 1 draw na Marquez akashinda 1. Kwenye boxing kuna usemi unaenda namna hii, ''Styles make fights'' (Styles make fights: A brief history lesson). Jumapili sio mbali. Tusubiri tuone pambano. Maneno zaidi yatakuja baada ya mtanange.

Mimi mkuu naamini kwenye hili pambano yeyote kati yao anaweza kushinda sababu wote ni mabondia wazuri. Ila nina wasiwasi Mayweather anaweza kulifanya hili pambano likawa baya kutokana na kuwa mwangalifu na kumsubiri Pacquiao amfate. Mayweather pia tukubali ni bondia anayetumia akili sana.

Mayweather anakwenda kulinda rekodi yake na atafanya kila awezalo asishindwe. lakini pia kwenye historia ya ngumi hakuna bondia aliyemaliza ngumi bila kupigwa. Hivyo lolote linaweza tokea.
 
Hapa mmoja akigeza uchezaji wa mwingine kachapwa.

Pac yey mtu wa speed piga nikupige May yey mtu wa timing..

Sasa May akisema afanye piga nikupige atakalishw mapema, Pac naye akisema afanye timing atapigwa.

Ila kama kila mtu atacheza mchezo wake mechi itakuwa tamu sana.

Ila kama Pacquiao akisema awe anasubiri kuzunguka kama Mayweather, pambano litakuwa baya na watu hawatachelewa kuanza kuzomea.
 
Ila kama Pacquiao akisema awe anasubiri kuzunguka kama Mayweather, pambano litakuwa baya na watu hawatachelewa kuanza kuzomea.

Hawa round ya mwanzo wataanz kwa kuogopana....ila pambano litanoga sana tu
 
Mimi mkuu naamini kwenye hili pambano yeyote kati yao anaweza kushinda sababu wote ni mabondia wazuri. Ila nina wasiwasi Mayweather anaweza kulifanya hili pambano likawa baya kutokana na kuwa mwangalifu na kumsubiri Pacquiao amfate. Mayweather pia tukubali ni bondia anayetumia akili sana.

Mayweather anakwenda kulinda rekodi yake na atafanya kila awezalo asishindwe. lakini pia kwenye historia ya ngumi hakuna bondia aliyemaliza ngumi bila kupigwa. Hivyo lolote linaweza tokea.
Rocky Marciano alijiuzulu ndondi bila kupigwa-Mayweather anataka kufanya hivyohivyo
 
Hivi kwa TZ ni TV gani itakayoonyesgha mpambano huu, ama online kama kuna link tupia wakuu
 
Ila kama Pacquiao akisema awe anasubiri kuzunguka kama Mayweather, pambano litakuwa baya na watu hawatachelewa kuanza kuzomea.

Mkuu, Manpaq namfananisha na Jorge Paez, hana muda wa kusubiri mpinzan amfuate. Kazi yake ni kurusha makonde mfululizo.

Hii itapelekea May kutandikwa kwa TKO.

Nataman siku ya pambano tupeane updates hapahapa.
 
Rocky Marciano alijiuzulu ndondi bila kupigwa-Mayweather anataka kufanya hivyohivyo

Mkuu Rocky Marciano alijiuzulu akiwa na umri wa miaka 32 tu ambao watu wengi wanasema bado alikuwa ana muda wa kupigana hivyo rekodi yake in walakini kidogo. Ni kama Mayweather alivyotangaza kujiuzuru kama ansingerudi tena angekuwa na rekodi tata.

Rocky Marciano alitangaza kurudi ila akachomoa dakika za mwisho kabla ya pambano, hiyo pia inaweka walakini kwenye rekodi yake.
 
Mkuu, Manpaq namfananisha na Jorge Paez, hana muda wa kusubiri mpinzan amfuate. Kazi yake ni kurusha makonde mfululizo.

Hii itapelekea May kutandikwa kwa TKO.

Nataman siku ya pambano tupeane updates hapahapa.

Mkuu hili pambano kama litakuwa kama linavyotarajiwa basi litaingia kwenye historia ya ulimwengu wa mapambano. Lakini Mayweather amebadilika sana siku hizi, pambano na Maidana alikuwa kimya watu wakasema hata kama akiongea Maidana hatamwelewa ndiyo maana kawa mkimya.

Lakini hili la Pacquiao na lenyewe yuko kimya sana. Sasa sijui uwoga maana lile la Maidana alianza kwa uwoga sana. Lakini hili pambano lilitakiwa liwe kipindi kile cha wote wako vizuri, miaka 5 iliyopita. Mayweather amepiga chenga sana sasa sijui alikuwa anawaza nini. Yote ni yote Jumamosi usiku dunia itasimama kwa muda.
 
Yaani woga napata mimi.EEee mungu simama na MAYWEATHER ashinde
 
Kwa uzoefu wangu katika michezo, huyu Pacquiao wenu akishapigwa mtakuja na sababu kibao, leo nimeona sehemu jamaa ashaanza uzushi eti game ni fixed, nikamwambia acha ujinga. Pac katapewa bei gani akubali kuuza honour. Kwahiyo wajameni, jumapili hatutaki sababu zisozo na kichwa wala miguu humu, tumeelewana?
 
Back
Top Bottom