Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,415
Hivi kwa masaa ya TZ itakua sangapi huo mpambano
Hapa mmoja akigeza uchezaji wa mwingine kachapwa.
Pac yey mtu wa speed piga nikupige May yey mtu wa timing..
Sasa May akisema afanye piga nikupige atakalishw mapema, Pac naye akisema afanye timing atapigwa.
Ila kama kila mtu atacheza mchezo wake mechi itakuwa tamu sana.
Maidana na De la hoya wlijaribu hiyo ya pigapiga sana lakini wakaambulia patupu
Tatizo maywather anafanya wapinzani wake wapigane anavyotaka yeye kwa ile timing na kimbia kimbia yake
pakiao anauwezo wa kupiga ngumi 38 ndani ya dakika 1 bila shaka atamkalisha mayweather

Tukitazama upande wa skillz....Mayweather kwenye defence yuko vyema sana..na ni mwepesi wa kurusha jab na lefthook kwa haraka sana kila apatapo nafasi ya kufanya hivyo....pia ana mashambulizi ya kushitukiza akitumia lef hook na short right hook bila kusahau pia mzuri kwenye uppercut na lowcut kwa mbali na kwa haraka saa.....
Ukimtazama Pacman kwenye defence siyo mzuri ana uwezo wa ajabu wa kurusha lefthook na jab katika kasi ya ajabu sana jambo linalomfanya kumpa wakati mgumu mpinzani asimkaribie huku yeye akishambulia...bado siyo mzuri katika kupiga mapigo ya uppercut na lowcut....na ukitazama kwa makini mapambano mengi PACMAN ameshinda kwa hook ya kulia au kushoto......
Unaweza ukaona ni jinsi pambano litakuwa gumu kwa pande zote mbili.
Kwa mara ya kwanza mywether atapigana kwa hofu kuu.....sababu ni hizo ulizotaja za pacman
Tukitazama upande wa skillz....Mayweather kwenye defence yuko vyema sana..na ni mwepesi wa kurusha jab na lefthook kwa haraka sana kila apatapo nafasi ya kufanya hivyo....pia ana mashambulizi ya kushitukiza akitumia lef hook na short right hook bila kusahau pia mzuri kwenye uppercut na lowcut kwa mbali na kwa haraka saa.....
Ukimtazama Pacman kwenye defence siyo mzuri ana uwezo wa ajabu wa kurusha lefthook na jab katika kasi ya ajabu sana jambo linalomfanya kumpa wakati mgumu mpinzani asimkaribie huku yeye akishambulia...bado siyo mzuri katika kupiga mapigo ya uppercut na lowcut....na ukitazama kwa makini mapambano mengi PACMAN ameshinda kwa hook ya kulia au kushoto......
Unaweza ukaona ni jinsi pambano litakuwa gumu kwa pande zote mbili.
pakiao anauwezo wa kupiga ngumi 38 ndani ya dakika 1 bila shaka atamkalisha mayweather
Mkuu tazama hiyo kuanzia 2:06 hapo