Mayweather technically yuko vizuri sana. Very focused, Very protecting himself.
Pacmann naona alikua anategemea zile za piga nikupige. Mayweather alikua mjanja hakumpa hiyo nafasi.
Nje ya uringo niliona Pac kajipanga na kutulia lakini uringoni Mayweather was very professional with lots of tactics za kujirinda na kushinda. He knew the winning before final round although Baba yake alitaka jamaa aibuke kama nyati. ........angemiss target angepoteza pambano tena kwa KO.
Round 4 Pac kapiga ngumi zake mfululizo lakini naona ni moja tu ya body shot ndio ilikua ya maana, the rest alitaka kumlainisha jamaa afungue target akashindwa.