Mazao jamii ya maharage ni fursa nzuri ya biashara

Tuna changamoto hasa.
Kwa hiyo vipi, ulipata koneksheni za kupeleka mazao Morocco?
 
Tuna changamoto hasa.
Kwa hiyo vipi, ulipata koneksheni za kupeleka mazao Morocco?
No ndiyo ninafikiria jinsi ya kupata mzigo mzuri na mkubwa pia kupack. Tenda kama hizi zinatakiwa uwe na uhakika wa upatikanaji wa bidhaa usiharibu uaminifu wako.
 
No ndiyo ninafikiria jinsi ya kupata mzigo mzuri na mkubwa pia kupack. Tenda kama hizi zinatakiwa uwe na uhakika wa upatikanaji wa bidhaa usiharibu uaminifu wako.
Naomba hiyo kazi mkuu ntaifanya kwa uaminifu
 
Du Kuna sehem maharage ya njano debe ni Tsh 13,000 wastani kg 1 kama 700 hivi.Tuna hao wanavijiji unawapa kazi ya kugrade kabisa na ni organic hawaweki dawa zozote maana wakishavuna tu mzigo unaingia sokoni.
 
Wapi huko boss
 
Maharage gani, sio yale mekundu kama nini sijui?!

Sent using Jamii Forums mobile app
Maharage yote ukiingia vijijini yanapimwa na kopo la plastic la walanguzi, lililo chemshwa na kuungua kisha likapasuka na kushonwa.

Ujazo wake ni zaidi ya lita 1 ambayo kawaida ni equivalent ya kilo 1. Mkulima akijidai kubwa kikopo chake apime mwenyewe walanguzi hawanunui kwake.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Uko sahihi,
Ila kwa sisi wakulima TULIOPIGIKA, hakuna jambo gumu kama kuunganisha wakulima kwenye vikundi, vyama vya ushirika viliwaibia mno wakulima, kiasi kwamba inahitajika elimu, elimu, kuwepo na vyama vya mfano vya mafanikio, watu wakaige, ila wakulima tunataka tulime tuuze on the spot hata kama ni bei ya chini BORA tulipwe keshi mkononi siyo kukopwa miaka 3.

Na mambo mengine ni kuburuzana BORA kutekeleza ilani ya Chama.
PM ametukosea SANA kwenye mazao ya biashara kung'ang'aniza ushirika!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Kwa kusafirisha nje ya nchi unapata mashine za kuchambulia na kufungia. Kama mtaji wa kununua mashine huna unatangaza vibarua, anaekuja unampa debe na ungo, anahahihisha ametoa mabovu na mawe yote na kupepeta.
Bila hata kusafirisha unaweza kupack na kusambaza madukani.
Kama kuna mtu ashaiona hiyo mashine atume hata picha ili tupate muongozo na pakuanzia
 
Bila hata kusafirisha unaweza kupack na kusambaza madukani.
Kama kuna mtu ashaiona hiyo mashine atume hata picha ili tupate muongozo na pakuanzia

Low Price Fully Automatic 1kg 2kg 3kg 5kg 10kg Bag
Hii inaanzia £8,000
 
Kwa mujibu ya taarifa ya BBC kiswahili 2018, Tanzania inaongoza kwa uzalishaji wa maharage Africa ikianza kigoma ikifuatia Kagera na ya tatu ni mbeya.

Lakini zao hilo halijatiliwa maanani na serikali hivyo watu hawawekezi kwa ukubwa bali kilimo cha kujikimu tu.

Hii fursa serikali iingalie kwa umakini, maharage ni zao la muda mfupi na halihitaji mvua nyingi na mikoa mingi lina kubali.
 
Njoo kwetu kigoma uone maharage wanavyo yauza, bakuli kubwa la kilo moja na nusu wanauza kwa sh,2800/=, Niambie kama kwenu huko Dar soko lipo niwaleteeni
Kigoma hio mbegu ya maharage ya njano imepitwa na wakati, jifunzeni nyanda za juu kusini wana mbegu nyingi nzuri.

Siku nikija nyumbani ntamletea bi mkubwa mbegu za Mbeya na Njombe/Iringa ajaribu kuzipanda.
 
Majibu haya hapa.
 
No ndiyo ninafikiria jinsi ya kupata mzigo mzuri na mkubwa pia kupack. Tenda kama hizi zinatakiwa uwe na uhakika wa upatikanaji wa bidhaa usiharibu uaminifu wako.
Dada usiogope Mbozi na Songea kuna maharage ya kutosha, wewe ni kutafuta supplier wa nyanda za juu kusini, mwingine kigoma mungine kagera na kilimanjaro.Hutokosa maharage ya kuuza miezi 6 constantly.

Ntakutafuta project yangu ikianza niko kujipanga walau heka 10 kwa msimu 2021-2022. Mi nipo nyanda za juu kusini, huku debe hufika mpaka 25. Miaka miwili mfululizo maharage yamekuwa juu kidogo debe 30+, ila yapo.

Wanalima masika na kiangazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…