Mazao jamii ya maharage ni fursa nzuri ya biashara

Kigoma hio mbegu ya maharage ya njano imepitwa na wakati, jifunzeni nyanda za juu kusini wana mbegu nyingi nzuri.

Siku nikija nyumbani ntamletea bi mkubwa mbegu za Mbeya na Njombe/Iringa ajaribu kuzipanda.
Hizo za huko kusini huwa nizarangi gani mkuu.
 
Nayapenda sana yale maharage ya njano na meupe ni matamu sana kuliko maharage mengine yoyote na pia hayakawii kuiva.
Njoo kwetu Kigoma uone maharage wanavyo yauza, bakuli kubwa la kilo moja na nusu wanauza kwa sh,2800/=, Niambie kama kwenu huko Dar soko lipo niwaleteeni.
 
View attachment 1755403
Low Price Fully Automatic 1kg 2kg 3kg 5kg 10kg Bag
Hii inaanzia £8,000
Habari Mkuu, nilikuomba maelezo ya kutosha kuhusu hii mashine. Bado hujanijibu mkuu.

Kuna fursa hii, nadhani tunaweza kujaribu huko;

"USADF invites applications from registered African agricultural cooperatives, producer groups, processors, and enterprises for grant financing. Grants will support solutions that extend your organizations’ own capabilities to increase your revenues, create jobs, improve farmer incomes, and achieve sustainable market-based growth.

USADF country and sector for Tanzania: beans, coffee, cotton, horticulture, maize, rice

Criteria

  • Your organization must demonstrate that it has successfully worked together for a minimum of 2 years, has a minimum of 200 active members or suppliers, and has the capability to effectively use grants funds.
  • Your ownership and management must be in agreement on the problem to be addressed and have a commitment to benefit your community.
  • Your organization must demonstrate the capability to account for USADF funds by showing you have a minimum of 2 years of basic functional management and financial controls in place.
  • Your organization must be 100% African-owned and African-led.
  • USADF is not accepting applications from non-government organizations (NGOs) and intermediaries. Your organization must be an agricultural cooperative, producer group, processor, or business.
Successful Proposals Must…
  • Have a clearly defined market opportunity to grow revenues that can increase incomes.
  • Have a clearly defined plan of how you can increase revenues and incomes in 2- 4 years.
  • Commit significant cash or specific in-kind contributions toward the grant activity.
  • Be able to directly impact hundreds of people and community members.
  • Be able to identify a path for continued growth and financing after the USADF grant ends.
  • Not exceed US $250,000.
  • Special consideration will be given to applications that incorporate innovative strategies to make use of new approaches and technologies, including complementary finance and information technology.
  • Special consideration will also be given to women-owned organizations and applications that promote youth entrepreneurship and employment
Application instructions
  • Your submission must include the following information from your organization:
    • financial statements for the last 2 years
    • registration document
    • completed grant application form, in English, or French
  • Applications must be in the sectors identified above for each country.
  • Applications can be no more than US $250,000.
  • Submit all documents in one e-mail by May 17, 2021 to the e-mail address linked above at apply here for your country".

More information available here; Apply for funding | USADF
 
Hiyo picha ndio mambo ya GMO ya kichina au
 
Ni kweli kabisa kwasababu hii 2,400 kwa kilo haifiki hata 1$ . Tatizo letu lingine ni kuandaa bidhaa katika ubora. Korosho ziko wahi kurudi kwakua zilikua a na kokoto
Utakua umejichanganya kwani 1$ ni Tsh ngapi
 
Hii kitu nafatilia, niliwahi kuwa project manager wa project iliyokuwa funded by USADF.
 
Safi....ila sio wazee wote hawana soft skills bana😧
 
 
Du Kuna sehem maharage ya njano debe ni Tsh 13,000 wastani kg 1 kama 700 hivi.Tuna hao wanavijiji unawapa kazi ya kugrade kabisa na ni organic hawaweki dawa zozote maana wakishavuna tu mzigo unaingia sokoni.
Wapi uko mkuu
 
umeongea point sana bestito yaani mpk umenifanya nianze kuwa na shauku ya kuingia kwenye mazao nianze kufanya
 
Du Kuna sehem maharage ya njano debe ni Tsh 13,000 wastani kg 1 kama 700 hivi.Tuna hao wanavijiji unawapa kazi ya kugrade kabisa na ni organic hawaweki dawa zozote maana wakishavuna tu mzigo unaingia sokoni.
ni mkoa gani huko
 
Jimbi mbona jina la machine lipo hapo? Yaani mimi nimefungua huu uzi dakika tano zilizopita na naona kabisa machine inaitwa "coretamp" packaging machine na inauzwa alibaba kwa $18,000.
Mkuu kuna mambo mengi unapata information mwenyewe online.Una computer au smartphone basi mengine unamaliza mwenyewe.
 
Uliona kunde za China Comorro zikiwa packed vzr na hukupiga picha?? Umetukosea sn [emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…