Mazao Siyo Mali ya serikali, wakulima waruhusiwe kuuza nje chakula

Mazao Siyo Mali ya serikali, wakulima waruhusiwe kuuza nje chakula

Geita hiyo mvua misimu miwili kwa mwaka so tunalima mara mbili kwa mwaka karibuni sana
 
Hawa wananchi wakiishiwa chakula waanze tena kuililia serikali kiwaletea chakula sio!!!!!!????????
Serikali itawapa vibali wafanyabiashara wataingiza vyakula toka nje
Hawa wananchi wakiishiwa chakula waanze tena kuililia serikali kiwaletea chakula sio!!!!!!????????
 
Ubinafsi ni mbaya, nyumbani kwako familia ife njaa, halafu upo busy kupeleka chakula kwa jirani wasife njaa. Upendo huanzia ndan ya nyumba. Chakula kitoshe ndani kwanza ndipo wengine wapewe
 
Wakati serikali inawapa mbolea ya ruzuku mbona hamkulalamika, sasa mnapangiwa bei mnaanza kubwata
Hio mbolea iliwafikia wakulima wote,mbolea zimeharibu ardhi yetu
 
Back
Top Bottom