Chinchiler JF-Expert Member Joined Jul 29, 2022 Posts 1,513 Reaction score 2,019 Jun 18, 2023 #21 Geita hiyo mvua misimu miwili kwa mwaka so tunalima mara mbili kwa mwaka karibuni sana
bongo dili JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 12,350 Reaction score 25,180 Jun 18, 2023 Thread starter #22 Utam said: Hawa wananchi wakiishiwa chakula waanze tena kuililia serikali kiwaletea chakula sio!!!!!!???????? Click to expand... Serikali itawapa vibali wafanyabiashara wataingiza vyakula toka nje Utam said: Hawa wananchi wakiishiwa chakula waanze tena kuililia serikali kiwaletea chakula sio!!!!!!???????? Click to expand...
Utam said: Hawa wananchi wakiishiwa chakula waanze tena kuililia serikali kiwaletea chakula sio!!!!!!???????? Click to expand... Serikali itawapa vibali wafanyabiashara wataingiza vyakula toka nje Utam said: Hawa wananchi wakiishiwa chakula waanze tena kuililia serikali kiwaletea chakula sio!!!!!!???????? Click to expand...
Divine... JF-Expert Member Joined May 22, 2015 Posts 1,624 Reaction score 3,143 Jun 18, 2023 #23 Ubinafsi ni mbaya, nyumbani kwako familia ife njaa, halafu upo busy kupeleka chakula kwa jirani wasife njaa. Upendo huanzia ndan ya nyumba. Chakula kitoshe ndani kwanza ndipo wengine wapewe
Ubinafsi ni mbaya, nyumbani kwako familia ife njaa, halafu upo busy kupeleka chakula kwa jirani wasife njaa. Upendo huanzia ndan ya nyumba. Chakula kitoshe ndani kwanza ndipo wengine wapewe
bongo dili JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 12,350 Reaction score 25,180 Jun 18, 2023 Thread starter #24 Medecin said: Wakati serikali inawapa mbolea ya ruzuku mbona hamkulalamika, sasa mnapangiwa bei mnaanza kubwata Click to expand... Hio mbolea iliwafikia wakulima wote,mbolea zimeharibu ardhi yetu
Medecin said: Wakati serikali inawapa mbolea ya ruzuku mbona hamkulalamika, sasa mnapangiwa bei mnaanza kubwata Click to expand... Hio mbolea iliwafikia wakulima wote,mbolea zimeharibu ardhi yetu