Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
Inadam[emoji777]Wenzetu wafe na njaa na sisi tuna chakula? Kama kufa ni wote, kama kupona ni wote.
inadam gani wewe usiyewajali jiani zako?
Binadamu [emoji736]
Jiani[emoji777]
Jirani[emoji736]
Jifunze kuandika kwanza kabla njaa haijapita na wewe.