DOKEZO Mazao ya chakula yasiuzwe nje ya Nchi, hali ni mbaya sana. Serikali zuieni haraka

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Wenzetu wafe na njaa na sisi tuna chakula? Kama kufa ni wote, kama kupona ni wote.

inadam gani wewe usiyewajali jiani zako?
Inadam[emoji777]
Binadamu [emoji736]
Jiani[emoji777]
Jirani[emoji736]

Jifunze kuandika kwanza kabla njaa haijapita na wewe.
 
Kuzuia kuuza nje ni kuongeza idadi ya machinga na bodaboda mijini na tatizo la ajira nchini
 
Inadam[emoji777]
Binadamu [emoji736]
Jiani[emoji777]
Jirani[emoji736]

Jifunze kuandika kwanza kabla njaa haijapita na wewe.
[emoji38] faiza siku hizi amekuwa bingwa wa kuchapia

Ova
 
Mkuu mwakani shika jembe ingia shambani Wacha wakulima tufaidi jasho letu
 
Wakulima watalima nawewe leo kwenye huu Uzi..[emoji28]
Bora umemwambia ukweli mapema hajui gharama na hasara tunazokula huko kwenye kilimo

Mwaka ukipata bahati ya soko unafidia na hasara za miaka ya nyuma
 
Kwa kweli sahivi huko vijijini wakulima wameanza kujenga nyumba bora
 
N kweli Kabsa Hali n Tete sahz n mwezi wa mavuno lakn vyakula avijashuka bei.Soko la ndani linatosheleza bila bei kushuka
 


Na wewe ni mkulima au ulichangia mtu pesa kulima ili umpangie namna ya kutumia mazao yake?
 
Pana pori pale ruvu kibaha la nafco na jeshi wanafugia panya tu kwann wasipewe wawekezaji kina nio walime wazalishe chakula na kutoa ajira
 
YAni nilime kwa Tabu kisha nihudumie shamba kwa Tabu mpk Mavuno yangu. Kisha inipangie mahali pa kuuza mazao yangu kweli[emoji24]

Wakat nasota kuanzia mwanzo mpk mwisho sijaona SERIKALI ikinisaidia chochote leo hii ndio wanifungie mipaka?

Nafaham kabisa hawez fanya hivyo kabisa natambua Gvt huwa wanaweka MAzao kqwnye ghala la Chakula hivyo ikitokea Njaa watajua nn cha kufanya
 
Wakulima wa miaka hii ni wasomi, sio wa kipindi cha Nyerere, wengi wanahifadhi mazao na wanauza kwa malengo,
Kwanini bado ruzuku inatolewa na unafuu wa pembejeo unatajwa sana?
 
Acha kukaza shingo,kuna watu wanafanya kilimo biashara. Hao wanaolima kwa ajili ya chakula gunia nne ndani zinamtosha chakula mpaka msimu mwingine wa kulima. Unadhan watu wanalima ekari 20 kwa ajili ya chakula cha familia?
Ukikaza shingo vizuri, utaelewa ninachozungumza!

Ukiendelea kukaza mawazo, huambui
 
Ukikaza shingo vizuri, utaelewa ninachozungumza!

Ukiendelea kukaza mawazo, huambui
Acha roho mbaya,nenda kalime na wewe uuze kwa hela kubwa.Mmeshaona mazao yana bei kubwa huoni kama hiyo ni fursa? mbona hamji kulalamika dhahabu ishushwe bei iwe sawa na mkaa?
 
Jitafakari kabla hujasema jambo, wakulima wanaumia sana bei za soko la ndani ya nchi ni ndogo sana ndomana wanauza nnje. kama mnataka mazao yasiuzwe nnje nunueni kwa bei kama ya nnje ya nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…