Michungwa ikiwa bado iko level ya milimao kwa maana kabla hujaifanyia budding unaweza changanya na mihogo ila ikishafanyiwa hiyo process huwezi changanya maana ni kipindi anbacho michungwa inataka nafasi ili kuongeza ukuaji na uzalishaji wa matunda.
Hapo sidhani kama anazungumzia kwenye kuuza,kwa miaka 3 korosho kama miche imekubali ndio kwanza inaanza kuzaa,changamoto kwenye kilimo cha korosho na shamba kubwa kama hilo ni matunzo ya shamba,palizi,vibarua,madawa n.k....
Ni kweli kiongozi miaka 3 ndio umri WA mikorosho, ila shughuri ya kulihudumia ni pevu kama usemavyo ,ila nashukuru MUNGU matarajio ni makubwa,pia nimeweka project ya ufugaji humo humo shambani,nimeweka mbuzi na kuku WA kienyeli,
Michungwa ikiwa bado iko level ya milimao kwa maana kabla hujaifanyia budding unaweza changanya na mihogo ila ikishafanyiwa hiyo process huwezi changanya maana ni kipindi anbacho michungwa inataka nafasi ili kuongeza ukuaji na uzalishaji wa matunda.
Hapana mkuu,labda machungwa ya kwenye bustani,lakini machungwa kama kilimo mininum ni miaka mitatu ukiwa nale nale mpaka miaka 5 mpaka 6 ndio unaanza kuzaa