Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,047
- 1,832
Hakuna kitu kiliniingizia hela mwaka huu kama kilimo cha mahindi, kwenye mvua za mwaka pamoja na changamoto za mvua ila nilivuna Gunia 22 nikauza gunia 20 kwa laki moja na elf 15 mwezi wa 11 kwenye mvua za vuli nimevuna gunia 13 nasubiri mwezi wa nne niuze kwa bei nzur
Wakulima tutaheshimiwa tu
Mwaka huu nimelima mara mbili yake tena ki bosi
Wakulima tutaheshimiwa tu
Mwaka huu nimelima mara mbili yake tena ki bosi