Mazao yangu mwaka huu nitauza bei ghali sana

Mazao yangu mwaka huu nitauza bei ghali sana

Wakulima tutaheshimika tu, tulidharaurika sana, tulichekwa sana,
Zama za kuuza gunia elf 30 zimeshapita
Zamani mlikua wajeuri, mlikua mnasema mimi silimi nasubiri wakulima wavune nitanunua tu,
Serikali isiingilie ugomvi huu, iache mazao yajipangie bei yenyewe sokoni

Hakika aisee akili ziwarudi
IMG_6119.jpg

Hiyo inaitwa cheka time umeanza kuchanua
 
Piga kazi kiongozi. We waache waendelee kubet mjini. Jipangie mabei yako tu
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Hiyo hela utaipeleka wapi? Maana kama ni Bati na Sisi tunapandisha bei, kama cement tunapandisha bei, mafuta ya Kula hivyo hivyo, mwisho wa siku hela yote unatupatia.
Vipi kwa sisi ambao tulishajenga,mtatukamatia wapi?
 
Ee TANZANIA sikia,

Mungu amekusudia mabaya JUU ya Dunia, inakuja njaa na ukame mkali ambao haijawahi tokea.

Mvua kidogo zilizonuesha juu ya nchi ni neema Kwa TANZANIA Ili kutunza chakula.

Tunzeni chakula sababu mvua haitonyesha Kwa kipindi kirefu,

Tuendelee na Maombi ya TOBA na REHEMA juu ya nchi yetu nzuri TANZANIA.

Amen
Umejuaje kuwa sehemu nyingine hakukuwa na mvua?
 
Back
Top Bottom