Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,047
- 1,832
Kilimo ni kubet mkuu .kuna mchele unakuja toka nje tani 90000 wakulima watalia na kusaga menoHakuna kitu kiliniingizia hela mwaka huu kama kilimo cha mahindi, kwenye mvua za mwaka pamoja na changamoto za mvua ila nilivuna Gunia 22 nikauza gunia 20 kwa laki moja na elf 15 mwezi wa 11 kwenye mvua za vuli nimevuna gunia 13 nasubiri mwezi wa nne niuze kwa bei nzur
Wakulima tutaheshimiwa tu
Mwaka huu nimelima mara mbili yake tena ki bosi
Hizo 90000 ni za kuanzia ,walamchele wako Dar tu mikoa mingi ni ugali90000 sio kitu mzee nchi kubwa hii
Wakulima yengenezeni magala wacheni ujinga wa kinywa mataputatu kipindi Cha mavuno
HahahahaHatutaki ushauri kama vipi Endeleeni na ushoga mjini tutawalimia huku
Hii Haina tofauti na Dar vs Nairobi[emoji3][emoji1][emoji3][emoji1][emoji3].
Leo zamu ya walimaji na wa mjini
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Nami nimelima nimepata mahindi kiasi, akaja mteja napigiwa simu eti ndoo kubwa ananunua elf 14!, ukiangalia gharama ulizotumia, nikamwambia, nikamwambia hayauzwi.Debe moja la mahindi wauzieni kwa ng'ombe watatu-Magufuli.
Nami nimelima nimepata mahindi kiasi, akaja mteja napigiwa simu eti ndoo kubwa ananunua elf 14!, ukiangalia gharama ulizotumia, nikamwambia, nikamwambia hayauzwi.
Mkuu huna tofauti na mpwayungu village[emoji3][emoji1][emoji3][emoji1]Safii akale hela
Mwaka huu alizeti sijalima ila nimelima mahindi na migomba huko Moro,nashukuru mahindi sasa hivi unga unatoka ndani na sio kupima vi kilokilo.View attachment 2614418
Day one hiyo vibarua hao
Gunia 22 kwa ukubwa gani wa shamba,je ulitumia mbolea mara ngapi?Hakuna kitu kiliniingizia hela mwaka huu kama kilimo cha mahindi, kwenye mvua za mwaka pamoja na changamoto za mvua ila nilivuna Gunia 22 nikauza gunia 20 kwa laki moja na elf 15 mwezi wa 11 kwenye mvua za vuli nimevuna gunia 13 nasubiri mwezi wa nne niuze kwa bei nzur
Wakulima tutaheshimiwa tu
Mwaka huu nimelima mara mbili yake tena ki bosi
Safi,hawa wakata mauno na waimba singeli wanalalamika hukuView attachment 2614418
Day one hiyo vibarua hao