Wakulima tutaheshimika tu, tulidharaurika sana, tulichekwa sana,
Zama za kuuza gunia elf 30 zimeshapita
Zamani mlikua wajeuri, mlikua mnasema mimi silimi nasubiri wakulima wavune nitanunua tu,
Serikali isiingilie ugomvi huu, iache mazao yajipangie bei yenyewe sokoni