matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
ππSidhani kama hata wewe mwenyewe unaamini unachokiandika!!
Unajitutumua tu hapa lakini deep down unaumia na kichapo mnachopewa na Israel!
Mungu wa Israel anaeruhusu watoto kuuwawa huyo atakuwa ni SHETANI.Wewe una mapepo original kutoka kwa ibilisi sio bure,nani kakwambia nyinyi ndio wamiliki wa ardhi ya (dunia)Gaza,baba yetu Ibrahim ambae ni baba wa Israeli alipewa ardhi ile na Mungu mwenyewe,narudia tena na Mungu mwenyewe wewe mtoto wa mama mdogo umepewa kipande cha ardhi badala utulie unajitutumua kwa kupiga mabomu na kujitoa mhanga eti allah akbar allah akbar mbona hakusaidii muisrael anachukua hospital, bunge na anafanya chochote anachotaka na anafanikiwa kwasababu yupo kwenye haki yake aliyokabidhiwa toka enzi za mababu na hafanyi hivyo Saudia au yemen bali pale kwasababu ni haki ya milki yake,niambie toka mmeanza kuleta chochoko lini mmeshinda kama sio kupigwa tu miaka nenda rudi kama sio Mungu kuwa upande wao mnadhani msingeshinda kuanzia kwenye six days war mwaka 1968 mlipoungana waarabu wote tuambie kwanini hamkushinda,unadhani Israeli anashinda kwa nguvu zake?tangu mmetaka kuanzisha taifa mmefanikiwa?toka enzi za Yasser arafat mnabweka tu na mtaendelea kubweka mpaka Yesu anarudi kuwapa kipigo cha mwisho.
Mungu amekupa akili uruhusu kushikiwa akili hivyo kama Gaza yote ipo chini ya Israel si warudi na mateka wao vita viimalizike au?Iv hizi habari huwa mnazipata media zipi, kwani mpaka sasa Gaza ipo chini ya Israel. Au kuna Gaza nyingine? Inawezekana wengine tupo Dunia nyingine na hatujitambui
Ibrahim ni baba ako? Toka lini? Ibrahim mu iraq na wewe ndugu yangu msafwa kutoka Mbeya wapi na wapi Mkuu? Wacha utoto basi mkuuWewe una mapepo original kutoka kwa ibilisi sio bure,nani kakwambia nyinyi ndio wamiliki wa ardhi ya (dunia)Gaza,baba yetu Ibrahim ambae ni baba wa Israeli alipewa ardhi ile na Mungu mwenyewe,narudia tena na Mungu mwenyewe wewe mtoto wa mama mdogo umepewa kipande cha ardhi badala utulie unajitutumua kwa kupiga mabomu na kujitoa mhanga eti allah akbar allah akbar mbona hakusaidii muisrael anachukua hospital, bunge na anafanya chochote anachotaka na anafanikiwa kwasababu yupo kwenye haki yake aliyokabidhiwa toka enzi za mababu na hafanyi hivyo Saudia au yemen bali pale kwasababu ni haki ya milki yake,niambie toka mmeanza kuleta chochoko lini mmeshinda kama sio kupigwa tu miaka nenda rudi kama sio Mungu kuwa upande wao mnadhani msingeshinda kuanzia kwenye six days war mwaka 1968 mlipoungana waarabu wote tuambie kwanini hamkushinda,unadhani Israeli anashinda kwa nguvu zake?tangu mmetaka kuanzisha taifa mmefanikiwa?toka enzi za Yasser arafat mnabweka tu na mtaendelea kubweka mpaka Yesu anarudi kuwapa kipigo cha mwisho.
toka lini wakawa na akili hao.Sio tatizo lako ni teknolojia inakupiga chenga. Hii clip ni computer generated image waulize Waarabu halisi wakutafsirie kitu gani kinatamkwa hapo maana huelewi.
Unaokoteleza clips za kutengeneza studio
Video ya kwanza siyo halisi, isipokuwa vipande vya mwishoni,Mazayuni wamechezea kichapo cha maana jana na juzi kutoka kwa Hamas, Hizbollah na Wayemeni kilichopelekea wao kukubali masharti yote ya Hamas ya kusimamisha mapigano.
Ikumbukwe kuwa mpaka juzi, Wayahudi walikuwa hawataki kabisa kusikiliza yeyote duniani na kusema hawasimamisha mapigano mpaka wawamalize Hamas. Vijana wa Hamas kupitia msemaji wao Abou Obeidah wakasema "sisi ni mashaheed, furaha yetu ni kufa tukipigania ardhi yetu", hatuendi kokote na kama mnaweza njooni mtumalize.
Wayahudi wakawa wanaingia kichwa kichwa, kila wakiingia wanakuta vifaru vyao walivyovitegemea vinamalizwa, jana wakabadili na kuanza kuingia Ghaza na magari ya deraya mabayo yalikuwa ni siri na hawajawahi kuyatumia popote kabla, wakisema kuwa hayo hayapigiki. Kinyume na matarajio yao, ile kuingia nayo yakaanza kutandikwa, ikabidi waite msaada, zikaja helicopter mbili kuwasaidia, zenyewe zikarusha makombora na kuita ambulance yao ipakie na kusaidia majeruhi wao, walkaona na wao wanshambuliwa wakakimbia na helicopter zao. Jionee Clip hiyo chini.
Baada ya vichapo hivyo ikabidi watie akili na wenyewe kukubali masharti ya Hamas, baada ya muda si mrefu mtaona mapigano yanasimama kimya kimya kwani mazayuni hawawezi kutangaza kwa aibu.
Habari tutazipata kutokeaa vyanzo vya habari vywa waandishi huru (freelancers)vidogo vidogo :
Baada ya muda mchache nawwashushia clips za mkong'oto waliochezea jana na juzi.
Video za ushahidi wa niliyoyaandika zipo post zinazofata, tembea kwenye uzi utaziona.
Hahaha ila Bibi unaamgaika hivi we ni wa kutuwekea video game ya call for duty πHii clip ya chini, kutokea "Al Jazeera Arabic" inaonesha magari ya siri ya deraya ya mazayuni, waliyotamba kuwa hayapigiki, yakichezea kichapo mpaka kuita helicoper ziwasaidie:
View attachment 2820326
Kwahiyo mazayuni wameingia gaza na kusalimu amri wakiwa gaza. Kwa uwezo huu wa fikra msitegemee kufika popote dhidi ya hao washindani wenu.Mazayuni wamechezea kichapo cha maana jana na juzi kutoka kwa Hamas, Hizbollah na Wayemeni kilichopelekea wao kukubali masharti yote ya Hamas ya kusimamisha mapigano.
Ikumbukwe kuwa mpaka juzi, Wayahudi walikuwa hawataki kabisa kusikiliza yeyote duniani na kusema hawasimamisha mapigano mpaka wawamalize Hamas. Vijana wa Hamas kupitia msemaji wao Abou Obeidah wakasema "sisi ni mashaheed, furaha yetu ni kufa tukipigania ardhi yetu", hatuendi kokote na kama mnaweza njooni mtumalize.
Wayahudi wakawa wanaingia kichwa kichwa, kila wakiingia wanakuta vifaru vyao walivyovitegemea vinamalizwa, jana wakabadili na kuanza kuingia Ghaza na magari ya deraya mabayo yalikuwa ni siri na hawajawahi kuyatumia popote kabla, wakisema kuwa hayo hayapigiki. Kinyume na matarajio yao, ile kuingia nayo yakaanza kutandikwa, ikabidi waite msaada, zikaja helicopter mbili kuwasaidia, zenyewe zikarusha makombora na kuita ambulance yao ipakie na kusaidia majeruhi wao, walkaona na wao wanshambuliwa wakakimbia na helicopter zao. Jionee Clip hiyo chini.
Baada ya vichapo hivyo ikabidi watie akili na wenyewe kukubali masharti ya Hamas, baada ya muda si mrefu mtaona mapigano yanasimama kimya kimya kwani mazayuni hawawezi kutangaza kwa aibu.
Habari tutazipata kutokeaa vyanzo vya habari vywa waandishi huru (freelancers)vidogo vidogo :
Baada ya muda mchache nawwashushia clips za mkong'oto waliochezea jana na juzi.
Video za ushahidi wa niliyoyaandika zipo post zinazofata, tembea kwenye uzi utaziona.
π€£π€£π€£π€£π€£Ibrahim ni baba ako? Toka lini? Ibrahim mu iraq na wewe ndugu yangu msafwa kutoka Mbeya wapi na wapi Mkuu? Wacha utoto basi mkuu
Sisi kwetu kifo ni ibadaDunia nziama inapaza sauti Israel ipunguze kipigo inachogawa alafu wewe unaleta ubunuasi.
vita sio mpira wewe, watu wnakufa, wamepoteza makazi yao, watoto wameacha kwenda shule, kila kitu kimeharibika alafu wewe unaleta mzaa
Si na yeye yuko sawa na mabikra 72 akiwa mmoja sasa. Wa kumshughulikia ajitangazeIla ww gaidi wa kike umezidisha uongo. Wenzako magaidi wa kiume wakifa kwaajili ya dini wakienda huko wanapata bikra 72 je ww ukifa
Kwaajili ya ujinga wako utapata nini.
Nimecheka kidogo nizimie. Kwa hiyo Faiza naye atatunukiwa wanaume 72 rijali wamsukumie moto! Alahaula kama vile naona mabonge ya barafu yatakavyo tumika kupoza/kukanda maeneo baada ya huo moto!Ila ww gaidi wa kike umezidisha uongo. Wenzako magaidi wa kiume wakifa kwaajili ya dini wakienda huko wanapata bikra 72 je ww ukifa
Kwaajili ya ujinga wako utapata nini.