Mazayuni wa Israel wasalimu amri na kukubali masharti yote ya Hamas ya kusitisha mapigano baada ya kuchezea kichapo jana na juzi

Hili liajuza livaa hijabu sijui linashabikia nini! Wewe unadhani wale wavaa makobazi wana lolote,
 
Stori za vijiwe vya kahawa! Waisraeli wapo ndani ya Gaza wanaendelea na kazi wewe unadanganya wanakula kichapo!! si wangekimbia kama Idd Amin alivyokimbia Kagera, kufa ktk vita lazma kila upande watakufa, huwezi kuwa wa kwanza darasani ukapata 100% kila somo. Mmeathirika na dini ya chuki mlizofundishwa madrasa na dini ya mabwana zenu miarabu haiwathamini ila kutwa kujipendekeza.
 
Israeli media is reporting that a deal is in the works and, essentially, Israel has given the green light for a deal that would see the exchange of women and children who are held inside the Gaza Strip for a five-day pause in the fighting.

Additionally, as per Hamas’s request, we would see women and minors being held in Israeli prisons released.

I’ll remind you that Israel is one of the only countries in the world that keeps children in its prisons and tries them in military courts.

Maghayo mkaldayo Israel ni umbwaaaa tu washenzi hao.

Wanataka watu wao waachiwe kisha wakiwaachia watoto na wamama wakipalestina wakiingia Gaza tu wawapige mabomu wawauwe.

Mgerasi wewe ni mafiiii.
 
Wewe una mapepo original kutoka kwa ibilisi sio bure,nani kakwambia nyinyi ndio wamiliki wa ardhi ya (dunia)Gaza,baba yetu Ibrahim ambae ni baba wa Israeli alipewa ardhi ile na Mungu mwenyewe,narudia tena na Mungu mwenyewe wewe mtoto wa mama mdogo umepewa kipande cha ardhi badala utulie unajitutumua kwa kupiga mabomu na kujitoa mhanga eti allah akbar allah akbar mbona hakusaidii muisrael anachukua hospital, bunge na anafanya chochote anachotaka na anafanikiwa kwasababu yupo kwenye haki yake aliyokabidhiwa toka enzi za mababu na hafanyi hivyo Saudia au yemen bali pale kwasababu ni haki ya milki yake,niambie toka mmeanza kuleta chochoko lini mmeshinda kama sio kupigwa tu miaka nenda rudi kama sio Mungu kuwa upande wao mnadhani msingeshinda kuanzia kwenye six days war mwaka 1968 mlipoungana waarabu wote tuambie kwanini hamkushinda,unadhani Israeli anashinda kwa nguvu zake?tangu mmetaka kuanzisha taifa mmefanikiwa?toka enzi za Yasser arafat mnabweka tu na mtaendelea kubweka mpaka Yesu anarudi kuwapa kipigo cha mwisho.
Mungu wa Israel anaeruhusu watoto kuuwawa huyo atakuwa ni SHETANI.
 
Iv hizi habari huwa mnazipata media zipi, kwani mpaka sasa Gaza ipo chini ya Israel. Au kuna Gaza nyingine? Inawezekana wengine tupo Dunia nyingine na hatujitambui
Mungu amekupa akili uruhusu kushikiwa akili hivyo kama Gaza yote ipo chini ya Israel si warudi na mateka wao vita viimalizike au?
 
Wewe una mapepo original kutoka kwa ibilisi sio bure,nani kakwambia nyinyi ndio wamiliki wa ardhi ya (dunia)Gaza,baba yetu Ibrahim ambae ni baba wa Israeli alipewa ardhi ile na Mungu mwenyewe,narudia tena na Mungu mwenyewe wewe mtoto wa mama mdogo umepewa kipande cha ardhi badala utulie unajitutumua kwa kupiga mabomu na kujitoa mhanga eti allah akbar allah akbar mbona hakusaidii muisrael anachukua hospital, bunge na anafanya chochote anachotaka na anafanikiwa kwasababu yupo kwenye haki yake aliyokabidhiwa toka enzi za mababu na hafanyi hivyo Saudia au yemen bali pale kwasababu ni haki ya milki yake,niambie toka mmeanza kuleta chochoko lini mmeshinda kama sio kupigwa tu miaka nenda rudi kama sio Mungu kuwa upande wao mnadhani msingeshinda kuanzia kwenye six days war mwaka 1968 mlipoungana waarabu wote tuambie kwanini hamkushinda,unadhani Israeli anashinda kwa nguvu zake?tangu mmetaka kuanzisha taifa mmefanikiwa?toka enzi za Yasser arafat mnabweka tu na mtaendelea kubweka mpaka Yesu anarudi kuwapa kipigo cha mwisho.
Ibrahim ni baba ako? Toka lini? Ibrahim mu iraq na wewe ndugu yangu msafwa kutoka Mbeya wapi na wapi Mkuu? Wacha utoto basi mkuu
 
Sio tatizo lako ni teknolojia inakupiga chenga. Hii clip ni computer generated image waulize Waarabu halisi wakutafsirie kitu gani kinatamkwa hapo maana huelewi.
Unaokoteleza clips za kutengeneza studio
toka lini wakawa na akili hao.
 
Mazayuni wamechezea kichapo cha maana jana na juzi kutoka kwa Hamas, Hizbollah na Wayemeni kilichopelekea wao kukubali masharti yote ya Hamas ya kusimamisha mapigano.

Ikumbukwe kuwa mpaka juzi, Wayahudi walikuwa hawataki kabisa kusikiliza yeyote duniani na kusema hawasimamisha mapigano mpaka wawamalize Hamas. Vijana wa Hamas kupitia msemaji wao Abou Obeidah wakasema "sisi ni mashaheed, furaha yetu ni kufa tukipigania ardhi yetu", hatuendi kokote na kama mnaweza njooni mtumalize.

Wayahudi wakawa wanaingia kichwa kichwa, kila wakiingia wanakuta vifaru vyao walivyovitegemea vinamalizwa, jana wakabadili na kuanza kuingia Ghaza na magari ya deraya mabayo yalikuwa ni siri na hawajawahi kuyatumia popote kabla, wakisema kuwa hayo hayapigiki. Kinyume na matarajio yao, ile kuingia nayo yakaanza kutandikwa, ikabidi waite msaada, zikaja helicopter mbili kuwasaidia, zenyewe zikarusha makombora na kuita ambulance yao ipakie na kusaidia majeruhi wao, walkaona na wao wanshambuliwa wakakimbia na helicopter zao. Jionee Clip hiyo chini.

Baada ya vichapo hivyo ikabidi watie akili na wenyewe kukubali masharti ya Hamas, baada ya muda si mrefu mtaona mapigano yanasimama kimya kimya kwani mazayuni hawawezi kutangaza kwa aibu.

Habari tutazipata kutokeaa vyanzo vya habari vywa waandishi huru (freelancers)vidogo vidogo :

Baada ya muda mchache nawwashushia clips za mkong'oto waliochezea jana na juzi.

Video za ushahidi wa niliyoyaandika zipo post zinazofata, tembea kwenye uzi utaziona.
Video ya kwanza siyo halisi, isipokuwa vipande vya mwishoni,

Habari za mtandaoni siyo za kuamini Moja kwa Moja, coz media ni silaha namba Moja wakati wa vita,,,just kama soka la UK na nguvu ya media
 
Dunia nziama inapaza sauti Israel ipunguze kipigo inachogawa alafu wewe unaleta ubunuasi.

vita sio mpira wewe, watu wnakufa, wamepoteza makazi yao, watoto wameacha kwenda shule, kila kitu kimeharibika alafu wewe unaleta mzaa
 
Mazayuni wamechezea kichapo cha maana jana na juzi kutoka kwa Hamas, Hizbollah na Wayemeni kilichopelekea wao kukubali masharti yote ya Hamas ya kusimamisha mapigano.

Ikumbukwe kuwa mpaka juzi, Wayahudi walikuwa hawataki kabisa kusikiliza yeyote duniani na kusema hawasimamisha mapigano mpaka wawamalize Hamas. Vijana wa Hamas kupitia msemaji wao Abou Obeidah wakasema "sisi ni mashaheed, furaha yetu ni kufa tukipigania ardhi yetu", hatuendi kokote na kama mnaweza njooni mtumalize.

Wayahudi wakawa wanaingia kichwa kichwa, kila wakiingia wanakuta vifaru vyao walivyovitegemea vinamalizwa, jana wakabadili na kuanza kuingia Ghaza na magari ya deraya mabayo yalikuwa ni siri na hawajawahi kuyatumia popote kabla, wakisema kuwa hayo hayapigiki. Kinyume na matarajio yao, ile kuingia nayo yakaanza kutandikwa, ikabidi waite msaada, zikaja helicopter mbili kuwasaidia, zenyewe zikarusha makombora na kuita ambulance yao ipakie na kusaidia majeruhi wao, walkaona na wao wanshambuliwa wakakimbia na helicopter zao. Jionee Clip hiyo chini.

Baada ya vichapo hivyo ikabidi watie akili na wenyewe kukubali masharti ya Hamas, baada ya muda si mrefu mtaona mapigano yanasimama kimya kimya kwani mazayuni hawawezi kutangaza kwa aibu.

Habari tutazipata kutokeaa vyanzo vya habari vywa waandishi huru (freelancers)vidogo vidogo :

Baada ya muda mchache nawwashushia clips za mkong'oto waliochezea jana na juzi.

Video za ushahidi wa niliyoyaandika zipo post zinazofata, tembea kwenye uzi utaziona.
Kwahiyo mazayuni wameingia gaza na kusalimu amri wakiwa gaza. Kwa uwezo huu wa fikra msitegemee kufika popote dhidi ya hao washindani wenu.
 
Dunia nziama inapaza sauti Israel ipunguze kipigo inachogawa alafu wewe unaleta ubunuasi.

vita sio mpira wewe, watu wnakufa, wamepoteza makazi yao, watoto wameacha kwenda shule, kila kitu kimeharibika alafu wewe unaleta mzaa
Sisi kwetu kifo ni ibada
 
Ila ww gaidi wa kike umezidisha uongo. Wenzako magaidi wa kiume wakifa kwaajili ya dini wakienda huko wanapata bikra 72 je ww ukifa
Kwaajili ya ujinga wako utapata nini.
Si na yeye yuko sawa na mabikra 72 akiwa mmoja sasa. Wa kumshughulikia ajitangaze
 
Nimesoma ulichoandika na sasa nina maswali yafuatayo:

Masharti gani ya Hamas ambayo Israel imeyakubali?

Masharti yapi ambayo Israel imeyatoa ili kusitisha vita? Mangapi yamekubaliwa na HAMAS?

Usitishwaji huo wa ni aina gani? Je ni wa muda mfupi kuruhusu misaada au ni wa kudumu?

Baada ya Usitishwaji huo ( kama ni wa kudumu) Hamas ataendelea kutawala GAZA?

Hadi leo wapiganaji wa HAMAS wangapi wameuawa?
 
Ila ww gaidi wa kike umezidisha uongo. Wenzako magaidi wa kiume wakifa kwaajili ya dini wakienda huko wanapata bikra 72 je ww ukifa
Kwaajili ya ujinga wako utapata nini.
Nimecheka kidogo nizimie. Kwa hiyo Faiza naye atatunukiwa wanaume 72 rijali wamsukumie moto! Alahaula kama vile naona mabonge ya barafu yatakavyo tumika kupoza/kukanda maeneo baada ya huo moto!
72? Kha Faiza si utajuta kufia katika imani?
 
Back
Top Bottom