Mazayuni wa Israel wasalimu amri na kukubali masharti yote ya Hamas ya kusitisha mapigano baada ya kuchezea kichapo jana na juzi

Hii vita haijawahi kusimama toka 1948, inasitishwa kwa muda tu.

Kumbuka hilo.
Na mnapigwa kila siku,kuanzia taifa la Israeli linapata uhuru mwaka 1948 mnabondwa tu mpaka leo.
 
IOF ilishiriki video nyingine ya propaganda inayodaiwa kuonyesha maendeleo yao ndani ya Ukanda.

Ninachokiona ni makomando wa Kiisraeli wakifyatua risasi kwenye kuta tupu, nyumba, na ardhini katika kujaribu kuwashawishi watu wao kwamba jeshi lao linashiriki katika mapambano ya ardhini yenye mafanikio.😂
 

Attachments

  • twidown.mp4
    8.7 MB
Ibrahim ni baba ako? Toka lini? Ibrahim mu iraq na wewe ndugu yangu msafwa kutoka Mbeya wapi na wapi Mkuu? Wacha utoto basi mkuu
Pole sana ewe kipofu wa kiroho unaelekea shimo la kuzimu motoni,kama ungekuwa wa imani moja na mimi usingeandika huu upuuzi haya soma hapa ujue kwanini mimi ni mtoto wa Ibrahimu.

Na kama ninyi ni wa Kristo, basi, mmekuwa uzao wa Ibrahimu, na warithi sawasawa na ahadi.

Wagalatia 3:29
 
🚨🇮🇱 ZIONIST PROPAGANDA never changes…
 

Attachments

  • IMG_6435.jpeg
    95.8 KB · Views: 2
FaizaFoxy ni malkia wa giza sio bure

  1. The leader of Hamas says the group is close to reaching a "truce agreement" with Israel, raising hopes of a pause in hostilities in Gaza that could see hostages freed
  2. Israel has not commented. Earlier PM Benjamin Netanyahu said his country would not stop fighting until hostages were brought home.
 
Hichi ndicho kichapo walichochezea Wazayuni,toka tarehe 7th,October:
Wizara ya afya ya Hamas:Wapelestina 13,300 wamefariki
Idadi ya Wazayuni waliofariki :1,200 na wengine kutekwa 200+
Mytake:Huyu bibi anatatizo la kuhesabu au anaendekeza proganda maandazi FaizaFoxy
 
Wanaambiwa wagalatia(waturuki),we ni mgalatia/mturuki!?..halafu Paulo anagawaje urithi wa Ibrahim!?
 
Hii clip ya chini, kutokea "Al Jazeera Arabic" inaonesha magari ya siri ya deraya ya mazayuni, waliyotamba kuwa hayapigiki, yakichezea kichapo mpaka kuita helicoper ziwasaidie:

View attachment 2820326
Dada hii ni computer generated.lakini habari yabwazayuni kula Kickapoo ni kweli .ila sababu halisi ya Israel kurudi nyuma ni nzito .marais wa nchi za kiarabu wamekaa na China wanataka waigawie maslahi ya mafuta kwa makubaliano ya ijiingize Gaza upande wa waarabu tatizo Xi anataka pakubwa hilo limerudisha nyuma speed ya mmarekan
 
Mzayuni kawasikiliza sasa Mmepata tena kilanga cha kuinua pua zenu!!

Mkamshukuru Biden
Kimbembe wanachopelekewa si mchezo, Ghaza wanalambwa na Hamas, kule mpakani wanachezea kichapo cha Hizbollah, Tel Aviv nayo kila kona inawaka moto, haikaliki, baharini nako meli imetekwa kikomando, jionee:

++
Your browser is not able to display this video.
 
Jana usiku Netanyahu kakubali masharti yote ya Hamas, maana mpira umemgeukia. Alivyotegemea sivyo.
Wanajeshi wa Israel ni kweli wanakufa kwenye uwanja wa vita lakini sio kwa kiwango cha wanajeshi 2000+. Ila yawezekana anayepigana na Muisrael sio Hamas huenda kuna jeshi jingine ambalo ni highly trained ndio linaongoza hivyo vikosi vya wanamgambo wa Hamas.
 
Kichapo kwa mazayuni kipo palepale, kila wanapojisogeza kumbe ni mtego:

Your browser is not able to display this video.
 
Kwa hesabu zako hizo hzi, mazayuni wamesema zayuni mmoja kwa Wapalestina 100, sasa fanya upya useme nani zaidi.
 
Mpaka sasa idadi ya askari wa Israeli kufariki Gaza toka waanze ground ops tarahe 27th,October ni 66 tu.Zingine ni propaganda.Vinginevyo weka reliable source hata iwe aljazeera kuliko kuweka source za mtaani!Sababu kubwa ya Ceasefire ingawa Israeli bado kukubali ni mateka kuachiwa wala sio sababu ya jeshi la israeli kupata hasra vitani.Wanaoumia mpaka sasa ni wapelistina na sio Waisraeli Bibi FaizaFoxy

Sixty-six soldiers have been killed in Gaza since the start of the ground incursion on October 27, which followed three weeks of aerial bombardments in the wake of the Hamas-led massacres on October 7, when Palestinian terrorists stormed the border into southern Israel and killed some 1,200 people — mostly civilians — and kidnapped at least 240

 
Aliyetoa masharti ya kusimamisha vita ni nani
 
Kwa hesabu zako hizo hzi, mazayuni wamesema zayuni mmoja kwa Wapalestina 100, sasa fanya upya useme nani zaidi.
Weka source ya habari badala ya kuweka video.Chanzo chako cha habari ni media ipi?Mapenzi yako kwa magaidi yasikufanye ukaingia kwenye propaganda!
 
Sio tatizo lako ni teknolojia inakupiga chenga. Hii clip ni computer generated image waulize Waarabu halisi wakutafsirie kitu gani kinatamkwa hapo maana huelewi.
Unaokoteleza clips za kutengeneza studio
Ndicho kilichotokea, sio kwamba haifahamiki ni CGI, lakini Aljazeera wameeleza kwa kutumia animation ,mwishoni hapo inaoneka helicopter ya kivita ikiondoka na kuachia flares, flares inaachiwa na ndege inapojizuia kushambuliwa na heat seeking missiles.

Kiukweli Israel wana hali mbaya baada ya Hezbollah kuingia kwenye hii vita. Na Israel haiwezi kushinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…