Ahead
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 2,292
- 2,566
Na mnapigwa kila siku,kuanzia taifa la Israeli linapata uhuru mwaka 1948 mnabondwa tu mpaka leo.Hii vita haijawahi kusimama toka 1948, inasitishwa kwa muda tu.
Kumbuka hilo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mnapigwa kila siku,kuanzia taifa la Israeli linapata uhuru mwaka 1948 mnabondwa tu mpaka leo.Hii vita haijawahi kusimama toka 1948, inasitishwa kwa muda tu.
Kumbuka hilo.
Nyie magaidi wa Kiislam mnayoyafanya ni sawa ila mkijibiwa ndio Mungu wa Israeli ni shetani,potelea mbali.Mungu wa Israel anaeruhusu watoto kuuwawa huyo atakuwa ni SHETANI.
Pole sana ewe kipofu wa kiroho unaelekea shimo la kuzimu motoni,kama ungekuwa wa imani moja na mimi usingeandika huu upuuzi haya soma hapa ujue kwanini mimi ni mtoto wa Ibrahimu.Ibrahim ni baba ako? Toka lini? Ibrahim mu iraq na wewe ndugu yangu msafwa kutoka Mbeya wapi na wapi Mkuu? Wacha utoto basi mkuu
FaizaFoxy ni malkia wa giza sio bure
Mazayuni wamechezea kichapo cha maana jana na juzi kutoka kwa Hamas, Hizbollah na Wayemeni kilichopelekea wao kukubali masharti yote ya Hamas ya kusimamisha mapigano.
Ikumbukwe kuwa mpaka juzi, Wayahudi walikuwa hawataki kabisa kusikiliza yeyote duniani na kusema hawasimamisha mapigano mpaka wawamalize Hamas. Vijana wa Hamas kupitia msemaji wao Abou Obeidah wakasema "sisi ni mashaheed, furaha yetu ni kufa tukipigania ardhi yetu", hatuendi kokote na kama mnaweza njooni mtumalize.
Wayahudi wakawa wanaingia kichwa kichwa, kila wakiingia wanakuta vifaru vyao walivyovitegemea vinamalizwa, jana wakabadili na kuanza kuingia Ghaza na magari ya deraya mabayo yalikuwa ni siri na hawajawahi kuyatumia popote kabla, wakisema kuwa hayo hayapigiki. Kinyume na matarajio yao, ile kuingia nayo yakaanza kutandikwa, ikabidi waite msaada, zikaja helicopter mbili kuwasaidia, zenyewe zikarusha makombora na kuita ambulance yao ipakie na kusaidia majeruhi wao, walkaona na wao wanshambuliwa wakakimbia na helicopter zao. Jionee Clip hiyo chini.
Baada ya vichapo hivyo ikabidi watie akili na wenyewe kukubali masharti ya Hamas, baada ya muda si mrefu mtaona mapigano yanasimama kimya kimya kwani mazayuni hawawezi kutangaza kwa aibu.
Habari tutazipata kutokeaa vyanzo vya habari vywa waandishi huru (freelancers)vidogo vidogo :
Baada ya muda mchache nawwashushia clips za mkong'oto waliochezea jana na juzi.
Video za ushahidi wa niliyoyaandika zipo post zinazofata, tembea kwenye uzi utaziona.
Hududi rejea ya masharti namba tano ndio inatoa tamaa mateka wetu aliyebaki hai karibu atarudi nyumbani.Hii clip imevuja kwa mwandishi huru, wayahudi wameomba poo kwa masharti yote ya Hamas:
View attachment 2820331
Wanaambiwa wagalatia(waturuki),we ni mgalatia/mturuki!?..halafu Paulo anagawaje urithi wa Ibrahim!?Pole sana ewe kipofu wa kiroho unaelekea shimo la kuzimu motoni,kama ungekuwa wa imani moja na mimi usingeandika huu upuuzi haya soma hapa ujue kwanini mimi ni mtoto wa Ibrahimu.
Na kama ninyi ni wa Kristo, basi, mmekuwa uzao wa Ibrahimu, na warithi sawasawa na ahadi.
Wagalatia 3:29
Dada hii ni computer generated.lakini habari yabwazayuni kula Kickapoo ni kweli .ila sababu halisi ya Israel kurudi nyuma ni nzito .marais wa nchi za kiarabu wamekaa na China wanataka waigawie maslahi ya mafuta kwa makubaliano ya ijiingize Gaza upande wa waarabu tatizo Xi anataka pakubwa hilo limerudisha nyuma speed ya mmarekanHii clip ya chini, kutokea "Al Jazeera Arabic" inaonesha magari ya siri ya deraya ya mazayuni, waliyotamba kuwa hayapigiki, yakichezea kichapo mpaka kuita helicoper ziwasaidie:
View attachment 2820326
Kimbembe wanachopelekewa si mchezo, Ghaza wanalambwa na Hamas, kule mpakani wanachezea kichapo cha Hizbollah, Tel Aviv nayo kila kona inawaka moto, haikaliki, baharini nako meli imetekwa kikomando, jionee:Mzayuni kawasikiliza sasa Mmepata tena kilanga cha kuinua pua zenu!!
Mkamshukuru Biden
Wanajeshi wa Israel ni kweli wanakufa kwenye uwanja wa vita lakini sio kwa kiwango cha wanajeshi 2000+. Ila yawezekana anayepigana na Muisrael sio Hamas huenda kuna jeshi jingine ambalo ni highly trained ndio linaongoza hivyo vikosi vya wanamgambo wa Hamas.Jana usiku Netanyahu kakubali masharti yote ya Hamas, maana mpira umemgeukia. Alivyotegemea sivyo.
Kichapo kwa mazayuni kipo palepale, kila wanapojisogeza kumbe ni mtego:Dada hii ni computer generated.lakini habari yabwazayuni kula Kickapoo ni kweli .ila sababu halisi ya Israel kurudi nyuma ni nzito .marais wa nchi za kiarabu wamekaa na China wanataka waigawie maslahi ya mafuta kwa makubaliano ya ijiingize Gaza upande wa waarabu tatizo Xi anataka pakubwa hilo limerudisha nyuma speed ya mmarekan
Kwa hesabu zako hizo hzi, mazayuni wamesema zayuni mmoja kwa Wapalestina 100, sasa fanya upya useme nani zaidi.Hichi ndicho kichapo walichochezea Wazayuni,toka tarehe 7th,October:
Wizara ya afya ya Hamas:Wapelestina 13,300 wamefariki
Idadi ya Wazayuni waliofariki :1,200 na wengine kutekwa 200+
Mytake:Huyu bibi anatatizo la kuhesabu au anaendekeza proganda maandazi FaizaFoxy
View attachment 2820872View attachment 2820903
Aliyetoa masharti ya kusimamisha vita ni naniSisi ni Waislam, labada huelewi mafunzo ya Kiislam. Kupigania ardhi yetu sisi ni kufa shaheed. Unafahamu maana yake?
Ulimsikia hata Mpalestina mmoja kuomba poo? Labda unaota.
mazayuni waliojidai hawaongei amani na kusitisha mapigano mpaka wawamalize Hamas, kiko wapi sasa? Kila wakiingia wanafyekwa. Wenyewe wameomba poo.
Umewaona picha mpaka wajinyea kwenye nguo, mwanajeshi anajinyea kwa uoga? Wanakumbana na mambo ya kutisha huko.
Weka source ya habari badala ya kuweka video.Chanzo chako cha habari ni media ipi?Mapenzi yako kwa magaidi yasikufanye ukaingia kwenye propaganda!Kwa hesabu zako hizo hzi, mazayuni wamesema zayuni mmoja kwa Wapalestina 100, sasa fanya upya useme nani zaidi.
Hamas ndio wanataka Ceasefire kwa kuweka masharti.Israeli bado kukubali na Gaza inaendelea kuchezea kichapo,toka;Angani,baharini na ardhini!Aliyetoa masharti ya kusimamisha vita ni nani
Ndicho kilichotokea, sio kwamba haifahamiki ni CGI, lakini Aljazeera wameeleza kwa kutumia animation ,mwishoni hapo inaoneka helicopter ya kivita ikiondoka na kuachia flares, flares inaachiwa na ndege inapojizuia kushambuliwa na heat seeking missiles.Sio tatizo lako ni teknolojia inakupiga chenga. Hii clip ni computer generated image waulize Waarabu halisi wakutafsirie kitu gani kinatamkwa hapo maana huelewi.
Unaokoteleza clips za kutengeneza studio