Mazayuni wa Israel wasalimu amri na kukubali masharti yote ya Hamas ya kusitisha mapigano baada ya kuchezea kichapo jana na juzi

Kijana kuwa upande wa wanaoonewa ndiyo chuki?

Pole sana, elewa tu, Mwenyezi Mungu siku zote yupo na wanyonge.
hao wanaofukiwa kwenye mahandaki siyo Wanyonge? mungu wenu kawatupa?
 
Ibrahim undugu wake na wewe unakujaje? we nywele ngumu Ibrahim muarabu sijui mzungu yule..😂😂😂
 
Kwa hesabu zako hizo hzi, mazayuni wamesema zayuni mmoja kwa Wapalestina 100, sasa fanya upya useme nani zaidi.
Kwenye hii vita Israeli halengi kila mtu kwa makusudi tofauti na Hamas.Ndio maana kabla ya kushambulia wanatoa taarifa kwa njia mbalimbali;simu,vipeperushi,vipaza sauti,ili watu waondoke.Hao watu wanaokufa wanakuwa
Kiukweli Israel wana hali mbaya baada ya Hezbollah kuingia kwenye hii vita. Na Israel haiwezi kushinda.
Weka source ya habari zenu badala ya kuandika kishabiki.Kuweka video bila kuweka media iliyoandika hiyo habari inakuwa haina ukweli!mere propaganda!
 

Hio ni Times of Israel dakika 8 zimepita. Nimeamua kutafuta chanzo mnachokiamini.
Au Gallant humfahamu ni waziri wa ulinzi Israel.

Hii vita Israel atakubali tu, hawezi shinda.
 
Kwa mujibu wa video clip niliyoweka juu hapo, wamekubaliana yote, kilichobaki ni namna ya utendaji na majkabidhiano tu.
 
ukipinga anachofanya Israel Gaza tegemea utaitwa.

mvaa dera,
mtu wa dini ya mnyaaazi mungu.
gaidi.
mvaa kobazi.
mvaa kipedo. 😂


Lakini iteni tu, lakini ukweli ni kwamba Israel kashindwa vita, haihitaji uwe muislamu kuzungumza ukweli kwamba Israel inafanya ugaidi Gaza.
 
Na mnapigwa kila siku,kuanzia taifa la Israeli linapata uhuru mwaka 1948 mnabondwa tu mpaka leo.
Usipinde maneno, hakujawahi kuwa na" taifa la israeli" kabla ya mwaka 1948.
 
Hahahaha kuna watu vilaza aisee. Gaza iko chini ya Israel kwasasa na watu wamekufa wa kutosha halafu huyu Bibi wa tandale anasemaje.
 
Kwa hesabu zako hizo hzi, mazayuni wamesema zayuni mmoja kwa Wapalestina 100, sasa fanya upya useme nani zaidi.
Kwenye hii vita Israeli halengi kila mtu kwa makusudi tofauti na Hamas.Ndio maana kabla ya kushambulia wanatoa taarifa kwa njia mbalimbali;simu,vipeperushi,vipaza sauti,ili watu waondoke.Hao watu wanaokufa wanakuwa kwenye maeneo yanayolengwa,aidha kwa kukaidi amri au kuzuwiwa na Hamas wasiondoke(Wanatumiwa kama "HumanShield")
 
Taarifa zinazosambaa kwenye vyombo vikubwa vya kimataifa vinaendana na alichoandika bibi yetu kunako huu Uzi. Huyu bibi si wa kumchukulia poa kabisa. Ndo mana kunako lile jukwaa jengine wababa na wakaka wamemgwaya kutekeleza ukaribisho wake wa kumchana mistari!
 
Kwa mujibu wa video clip niliyoweka juu hapo, wamekubaliana yote, kilichobaki ni namna ya utendaji na majkabidhiano tu.
Pole Faiza kwa bahati mbaya sana kichapo kwa magaidi panyarodi wa hamas bado kipo palepale kinaendelea na kitaendelea aisee ongeza dua maana palestinian wanakufa mnooo.
 
Leo nimemuamini Mtume Muhamed alisema Wanawake wa kiislam wana akili nusu na asilimia kubwa wataenda motoni sababu wana patwa hedhi..

Habari ipo ki nusu akili
 
Na magaidi na uzao wao wamekufa wangapi...? Na mje kulialia. Nyie ni kenge maji
 
Ila ww gaidi wa kike umezidisha uongo. Wenzako magaidi wa kiume wakifa kwaajili ya dini wakienda huko wanapata bikra 72 je ww ukifa
Kwaajili ya ujinga wako utapata nini.
Hili gumegume la Kiha mixer Ndengereko litazawadiwa wanaume mashababi 72 wanaopiga mpini kisawa sawa.

Kama uongo hatakuja kuipinga hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…