ukweli ni kwamba wanaolia usku na mchana hii vita iishe ni HAMAS, jumuiya ya kiarabu na jumuia za kiislam ikiwemo kina faiza fox, israel anaenjoy hii vita maana aliwatamani hamas mda mrefu mpaka WALIPOYATIMBA october 7, juzi mababu wa kiarabu waliandamana mpaka china kuiomba serikali ya china iwabembeleze ISRAEL isitishe mapigano, kabla ya hapo walienda mpaka urusi kuomba msaada wajukuu zao wanaisha, kila siku huko UN wawakilishi wa PALESTINA wanalia machozi kuomba Israel ipunguze kuwapelekea moto, mpaka raisi wa palestina analia kuomba POO... ILA mlivyo kama mazombi ,mnadanganyana eti leo israel ndio anaomba vita iishe, acheni bangi nyie kina faiza.
kinachomfanya ISRAEL akubali majadiliano ya CEASE FIRE tena ni temporary, ni CEASE FIRE sio END WAR, sababu pekee itayomfanya akubaliane usitishwaje mdogo wa mapigano ni kama wananchi wake wataachiwa, na hilo ni kutokana na maombi ya wananchi wa israel hasa wenye ndugu mateka, ambao kila siku wanaandamaana kuiomba serikali ikubali maongezi na hamas ili ndugu zao waachiwe, lakini pia israel ili ilinde urafiki wake na marekani, inatakiwa ioneshe utayari wa mazungumzo ili isichafuke kimataifa na kuitwa mhalifu wa kivita, hizo ndo sababu pekee zinazomfanya NETANYAHU afikirie DEAL na HAMAS, lakini sio eti "kipigo" hamas kwa sasa wametepeta, wanaishi mapangoni, gaza yote anayeamua cha kuingia na cha kutoka ni israel.. unaposikia misaada inashindwa kuingia gaza ujue alitekataa ni israel na sio hamas.
kwahyo kuanzia sasa nyuzi za kusema israel kaomba poo ni BRAIN WASHING msiingie huo mtego...fatilieni vyombo mbalimbali vyaa habari kujiridhisha Ni kina nani hasa wanaoomba vita iishe.