Mazayuni wanajiondoa GAZA kimyakimya kama walivyofanya Wamarekani Afghanistan

Mazayuni wanajiondoa GAZA kimyakimya kama walivyofanya Wamarekani Afghanistan

hiyo video ni kwamba Hamas wanapigana vita ya kuvizia.. wanavizia wayahudi walipo ndo wanawafanyia ambush alaf wanakimbia wanaenda kujificha kwenye makambi ya wakina mama na watoto, kichapo kikiwafuata kilio kinaanza israel anaua wakina mama na watoto, bila kujua kwamba hao wakinamama na watoto katikati yao wapo hamas
 
Hamas gani hao ambao wamekamatwa kama kuku na kuvuliwa nguo ? Gaza imeshaondoka kama milima ya Golan ilivyondoka, poleni sana watu wa kazi.
 
Attachments

  • Screenshot_20231215-201312_WhatsAppBusiness.jpg
    Screenshot_20231215-201312_WhatsAppBusiness.jpg
    128.9 KB · Views: 2
Bibi vita bado mbichi ndo kwanza inaanza kama unahisi wayahudi wanajiondoa kama walivojiondoa amercan huko afghanistan utakua umekosea sana sababu kwanza amerca afghanistan sio nyumban kwake yupo kule kimaslah so anaweza ondoka anytime, ila kwa myahudi ni kwamba anaamini hapo ni kwake so aondoke aende wapi? yeye atafia hapo hapo ila sio kuondoka

tayari kichwa kikubwa cha hamas kishaliwa huko lebanon, pia pamoja na kwamba wanapunguza majeshi kichapo bado kinaendelea hakuna kilichopungua.

pia houthi tayari magaidi kumi washazamishwa majini walioponea chupu chupu wakakimboa, ngoja tuendelee kuona ujanja wao watafika wapi?
 
Shida ako huna Mme...na bahati mbaya jamaa aliyekuoa ni dini Ile alishapata mke wa 4 so hauna jipya wewe. Anakuona km bibi kizee...Cha msingi subiri bikra 72 ukazisage peponi. Islam is satan. Dini inaamini Kuna mapepo mazuri ...lol
Kwa vile wewe una mume basi una amini mabinti wenzako hawana mume sio?

Jikite kwenye mada,tunajua kua una mume sio lazima kututangazia hapa.
 
hiyo video ni kwamba Hamas wanapigana vita ya kuvizia.. wanavizia wayahudi walipo ndo wanawafanyia ambush alaf wanakimbia wanaenda kujificha kwenye makambi ya wakina mama na watoto, kichapo kikiwafuata kilio kinaanza israel anaua wakina mama na watoto, bila kujua kwamba hao wakinamama na watoto katikati yao wapo hamas
Unawashobokea wayahudi waliomuua Mungu wako? Unawashobokea wayahudi walioikata dini ya Mungu wako? Wewe kwa wayahudi ni takataka tu acha shobo.
 
Unawashobokea wayahudi waliomuua Mungu wako? Unawashobokea wayahudi walioikata dini ya Mungu wako? Wewe kwa wayahudi ni takataka tu acha shobo.
we unamjua Mungu wangu? , Mungu wangu yupo kijijini kwetu bado anaishi, apo amna anayeshobokewa wayahudi na waarabu wote hawatuhusu na maisha yetu, ila apo umepewa real facts
 
Inachukua miezi mingi kwa sababu Hamas wanajichanganya na raia wanavaa kiraia sasa Israel inapata wakati mgumu kuwapiga ikipiga kila raia malalamiko ya wafia dini yatadhidi Israel ikitumia nguvu zake zote wapalestina watakufa kama kuku maana Hamas wanawatumia raia kama ngao
Nenda kwa Papa ukabarikiwe wewe na mumeo,mmesharuhusiwa ni ruksa.
 
we unamjua Mungu wangu? , Mungu wangu yupo kijijini kwetu bado anaishi, apo amna anayeshobokewa wayahudi na waarabu wote hawatuhusu na maisha yetu, ila apo umepewa real facts
Hebu kajifundishe kuandika kwanza kisha uje tena.
 
Bibi vita bado mbichi ndo kwanza inaanza kama unahisi wayahudi wanajiondoa kama walivojiondoa amercan huko afghanistan utakua umekosea sana sababu kwanza amerca afghanistan sio nyumban kwake yupo kule kimaslah so anaweza ondoka anytime, ila kwa myahudi ni kwamba anaamini hapo ni kwake so aondoke aende wapi? yeye atafia hapo hapo ila sio kuondoka

tayari kichwa kikubwa cha hamas kishaliwa huko lebanon, pia pamoja na kwamba wanapunguza majeshi kichapo bado kinaendelea hakuna kilichopungua.

pia houthi tayari magaidi kumi washazamishwa majini walioponea chupu chupu wakakimboa, ngoja tuendelee kuona ujanja wao watafika wapi?
 
Attachments

  • Screenshot_20240102-221110_Instagram.jpg
    Screenshot_20240102-221110_Instagram.jpg
    84.8 KB · Views: 1
hii vita ikiisha utaona israel anaikalia gaza yote, hamas watakaobakia ni wale walio mafichoni syria, iran na lebanol, na ndo hao unaona washaanza kuwindwa na mosad, leo keshachinjwa mmoja, bado yule sinwar nae siku zako zinahesabika yule, wataisha tu.
 
Nyie mungu wenu papa anawasimamia ili mtinduane.

Papa ni mzushi tu. Na nitashangaa kama ataendelea kuwa katika nafasi yake.
Wee mtu anasema ushoga si kosa la jinai. Sasa swali, je ushoga si jinai kwa sheria ya wapi?
 
USA aliiachia Taliban too late kapoteza uchumi mkubwa na wanajeshi wakutosha,hawa "takbir" wanajitoa wazima wazima sio nusunusu.Israel wajitafakari wapo wachache,wakumbuke kilichompata Ukraine ana haha alone now.
 
Mazayuni ujanja umewaishia, kwanza walikiondowa Ghaza kikosi chao kikali kuliko vyote kinachoitwa Golan baada ya kuchezea kichapo na kuona morali ya askari wao ipo chini sana. Wakaona kuendelea kuwaweka hao ni kuwaua tu, wakawaondoa.

Wakaleta kimya kimya kikosi kinachoitw "kfir", hiki ni kikosi cha chuki kwa Wakristo na Waislam ni kikosi cha kidini kinachoamini wote hao wa kuuliwa tu. Hawa ndiyo wakawa wanachezea kichapo kijinga kweli kweli wiki nzima hii.

Netanyahu kaona, umaarufu wake kisiasa unashuka, mabwana zake Wamarekani walishamwambia mwisho wa mwezi huu ndiyo basi. Hezbo;;ah huku inaendelea kuwafyatua kila kukicha.

Wayemeni nao wanaminya mishipa ya damu baharini huko.

Nahisi Mazayuni hawana ujanja na Hamas wamesema wao kila anaeikalia ardhi yao ni halali yao.

Faiza: Naona vita hii imekuchanganya sana dadangu........Utasemaje kuhusu Hii proposal ya Hamas .....Kwa kukusaidia tu, huu ndio ukweli mchungu, Hayo unayoyaita Mayahudi hayaondoki hapo, jiandeeni kwa Intifada tu! Hii imekuwa ni Nakba nyingine! Pole sana dadangu!

22 hours ago -World

Hamas sent Israel hostage deal proposal, but two sides still far apart, sources say​

Hamas through Qatari and Egyptian mediators gave Israel on Sunday a proposal for a new hostage deal, according to two Israeli officials and one source with knowledge of the proposal.
Why it matters: Israel rejected the proposal, but one of the Israeli officials said the offer shows Hamas is now ready to engage in negotiations on a new hostage deal, even as the fighting in Gaza continues. Hamas has said Israel must end the war before the group would negotiate a new hostage deal.
Behind the scenes: The proposal included a three-phase process. Each phase would include a pause in fighting for more than a month in exchange for the release of hostages, one of the Israeli officials said.
  • Under the proposal, Israel would begin pulling its forces out of Gaza during the implementation of the first phase of the deal, which would include the release of roughly 40 hostages, the official said. Some Palestinian prisoners would also likely be released.
  • The proposal would also end the war following the implementation of the last phase of the agreement, which would include the release of soldiers who are being held hostage in Gaza, per the official.
What they're saying: The Israeli war cabinet discussed the new Hamas proposal and told the Qatari and Egyptian mediators on Monday that it is unacceptable, the Israeli official said.
  • "The proposal we received from Hamas on Sunday was totally off base and we asked the mediators to try and produce a more acceptable proposal. They are working on it and let's see what happens," the official said.
  • "We are in the pre-beginning of the talks. The negotiations are not stuck anymore but they are also not making significant progress yet."

The big picture: Egypt last month proposed relaunching talks on a three-phase deal that would eventually see the release of all the hostages held by Hamas and Palestinians detained in Israeli prisons.
  • Under the Egyptian proposal, the third phase would include the ending of the war, the Israeli pullout from Gaza and the establishment of a technocratic government in the enclave that would not be affiliated with Hamas and would get the support of the U.S., Egypt and Qatar.
  • A Hamas delegation has been in Cairo in recent days to discuss the proposal.
Source: https://www.axios.com/2024/01/01/hamas-israel-hostage-deal-proposal-rejects-gaza-war
 
Mazayuni ujanja umewaishia, kwanza walikiondowa Ghaza kikosi chao kikali kuliko vyote kinachoitwa Golan baada ya kuchezea kichapo na kuona morali ya askari wao ipo chini sana. Wakaona kuendelea kuwaweka hao ni kuwaua tu, wakawaondoa.

Wakaleta kimya kimya kikosi kinachoitw "kfir", hiki ni kikosi cha chuki kwa Wakristo na Waislam ni kikosi cha kidini kinachoamini wote hao wa kuuliwa tu. Hawa ndiyo wakawa wanachezea kichapo kijinga kweli kweli wiki nzima hii.

Netanyahu kaona, umaarufu wake kisiasa unashuka, mabwana zake Wamarekani walishamwambia mwisho wa mwezi huu ndiyo basi. Hezbo;;ah huku inaendelea kuwafyatua kila kukicha.

Wayemeni nao wanaminya mishipa ya damu baharini huko.

Nahisi Mazayuni hawana ujanja na Hamas wamesema wao kila anaeikalia ardhi yao ni halali yao.

Faiza: Tumwamini nani? Wewe au Aljazeera?

News|Israel War on Gaza

Israel maintains onslaught as Gaza death toll tops 22,000​

Gaza’s health ministry says 22,185 Palestinians have now been killed in Gaza since October 7.

A woman reacts standing in front of a house destroyed in Israeli bombardment in Rafah refugee camp

A woman reacts while standing in front of a house destroyed in Israeli bombardment in Rafah, in the southern Gaza Strip [AFP]
Published On 2 Jan 20242 Jan 2024

Israeli attacks have continued across the Gaza Strip with little let-up, as the death toll in the enclave rose above the latest milestone of 22,000.
The total number of Palestinians killed in Gaza since October 7 now stands at 22,185, while at least 57,000 have been injured, the Hamas-run Ministry of Health announced on Tuesday. Meanwhile, air and ground attacks continued across the Strip, including in the south, where hundreds of thousands of displaced people have been directed to seek safety.

Back
Top Bottom