tejateja
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 1,620
- 971
Miaka elfu ngapi mkuu imepita mpaka sasahivi? Hapa tunaongelea miaka kama 2000 iliyopita . Tutumie ubinadamu tuondoe ushabiki na mihemuko . Mfano tu , ndugu zetu wangoni inasadikika walikuja nchini Tanganyika wakitokea Africa ya kusini. Je, ni vyema tukawafukuza na kusema warudi kwao walikotoka?? Haitakuwa haki kuwatendea hivo.Hakuna haki inayopiganiwa na wapalestina,eneo Hilo ni Mali ya Wayahudi tangu alivyolotwa Joshua baadae Daudi na wafalme wote wa Israel walitawala hapo .Wapalestina walikuja baada ya Wayahudi kuondolewa na warumi mwaka 100Ad na ndipo eneo lao likavamiwa na wagen ambao Leo mnawaita Wapalestina .
1948 baada ya Vita kuu ya pili kuisha , na baada ya Wayahudi kunyanyaswa na kuuliwa sana huko ulaya. Kulikuwa na mapendekezo kadhaa hawa Wayahudi ili wasiendelee kuteseka bila taifa lao wenyewe wawatafutie eneo la kuwaweka, kulikuwa na Argentina, Palestine,Congo....etc. Hatimaye ikaonekana wapelekwe Palestine. Kumbuka kuwa kabla ya 1948 hapa duniani hapakuwepo na nchi iitwayo Israel.
Kulikuwa na jamii ndogo sana ya Wayahudi ndani ya Palestine kipindi hicho. ....
All in all ni vyema sana nchi za magharibi zisimamie hili swala na hatimae haki isimame. Palestinians wanahaki kama binadamu wengine. Miaka Zaidi ya elfu mbili wakiishi katika hio aridhi, basi pale ni kwao pia .