does exist
Member
- Aug 19, 2022
- 6
- 8
Why?Mkuu MAZDA DEMIO Kukaa miaka 10...haiwezekan narudia tena HAIWEZEKAN.
ACHA UBAHILI.
Ila wabongo kwenye kutishana Tu wanaongoza kwasababu demio na ist zinafanana Tu hata spare parts zipo nyingi na hiyo gari ni ngumu Sana kama IST tuMkuu MAZDA DEMIO Kukaa miaka 10... Haiwezekani, narudia tena HAIWEZEKANI.
ACHA UBAHILI.
Kwa nini isikae miaka 10...Mkuu MAZDA DEMIO Kukaa miaka 10... Haiwezekani, narudia tena HAIWEZEKANI.
ACHA UBAHILI.
Sahihi mm nimejbu kwa upande wangu haiwez maliza miaka 10..labda kama anatumia wifeKwa nini isikae miaka 10...
Vyuma vilivyotengeneza mazda dwmio ndiyo hivyo hivyo vilivyotengeneza magari mengine ya saizi yake..
Utunzaji wake ndiyo utaamua ikae miaka 10 au isikae miaka 10..
Hapa mtaani kwetu kuna mwamba ana mazda demio namba BMZ kama sijakosea Rafiki yake aliagiza Japan, katumia kachoka akamuuzia jamaa..ila jamaa sasa hivi ameiharibu...haina mvuto...mmiliki wa pili si mtunzaji...jiulize usajili wa namba B moaka leo ni miaka mingapi....kama tu CAA ni zaidi ya hiyo miaka 10..
Mkuu naomba unisaidie kujua changamoto technical anazo kutana nazo mmiliki wa pili na je kwenye rough road inahimili, ni weza ishi kijijini angalau kwa mwezi mzima na kurudi dsm bila shida.Kwa nini isikae miaka 10...
Vyuma vilivyotengeneza mazda dwmio ndiyo hivyo hivyo vilivyotengeneza magari mengine ya saizi yake..
Utunzaji wake ndiyo utaamua ikae miaka 10 au isikae miaka 10..
Hapa mtaani kwetu kuna mwamba ana mazda demio namba BMZ kama sijakosea Rafiki yake aliagiza Japan, katumia kachoka akamuuzia jamaa..ila jamaa sasa hivi ameiharibu...haina mvuto...mmiliki wa pili si mtunzaji...jiulize usajili wa namba B moaka leo ni miaka mingapi....kama tu CAA ni zaidi ya hiyo miaka 10..
Mkuu naomba unifafanulie nami nijue hayo madhaifu yake.Sahihi mm nimejbu kwa upande wangu haiwez maliza miaka 10..labda kama anatumia wife
Naona mabo yale yale ya kawaida shock up, ball joint na bushes...Mkuu naomba unisaidie kujua changamoto technical anazo kutana nazo mmiliki wa pili na je kwenye rough road inahimili, ni weza ishi kijijini angalau kwa mwezi mzima na kurudi dsm bila shida.
Natanguliza shukrani mkuu
Hii ni gari ya kununua kabisa nlikua sijaielewa mpaka bwana mdogo wangu alipoiagiza anaitumia ana anaifurahia.Habari zenu wakuu, tafadhalini naomba msaada wa ushauri kwa mwenye kuijua mazda demio ya 2004 -2006 upande wa running cost zake, magonjwa yake na je kuna uwezekano wa kudumu nayo kwa miaka angalau 10 kwa mazingira yetu ya Tanzania?
NB: Sijawai kumiliki gari nimeona bei ya mazda demio ipo chini kuliko IST, je na huu ugeni ninunue au nitakuwa nimejipa ugonjwa moyo?