Mazda demio 2004-2006

Mazda demio 2004-2006

does exist

Member
Joined
Aug 19, 2022
Posts
6
Reaction score
8
Habari zenu wakuu, tafadhalini naomba msaada wa ushauri kwa mwenye kuijua mazda demio ya 2004 -2006 upande wa running cost zake, magonjwa yake na je kuna uwezekano wa kudumu nayo kwa miaka angalau 10 kwa mazingira yetu ya Tanzania?

NB: Sijawai kumiliki gari nimeona bei ya mazda demio ipo chini kuliko IST, je na huu ugeni ninunue au nitakuwa nimejipa ugonjwa moyo?
 
Mkuu MAZDA DEMIO Kukaa miaka 10... Haiwezekani, narudia tena HAIWEZEKANI.

ACHA UBAHILI.
 
One of the best car ni mazda demio kwanzia fuel consuption ,Reliability na coftabiluty ni gari nzuri sna na running coast yake ni ya kawaida achana na wanaopanda hata baskeli hawana wala hawajawahi kabisa hata kupanda wala kumiliki ...bro kama unachukua ww chukua ujitahidi sana kuijali service utaenjoy sana
 
Mkuu MAZDA DEMIO Kukaa miaka 10... Haiwezekani, narudia tena HAIWEZEKANI.

ACHA UBAHILI.
Kwa nini isikae miaka 10...
Vyuma vilivyotengeneza mazda dwmio ndiyo hivyo hivyo vilivyotengeneza magari mengine ya saizi yake..
Utunzaji wake ndiyo utaamua ikae miaka 10 au isikae miaka 10..
Hapa mtaani kwetu kuna mwamba ana mazda demio namba BMZ kama sijakosea Rafiki yake aliagiza Japan, katumia kachoka akamuuzia jamaa..ila jamaa sasa hivi ameiharibu...haina mvuto...mmiliki wa pili si mtunzaji...jiulize usajili wa namba B moaka leo ni miaka mingapi....kama tu CAA ni zaidi ya hiyo miaka 10..
 
Sahihi mm nimejbu kwa upande wangu haiwez maliza miaka 10..labda kama anatumia wife
 
Kwa nini isikae miaka 10...
Vyuma vilivyotengeneza mazda dwmio ndiyo hivyo hivyo vilivyotengeneza magari mengine ya saizi yake..
Utunzaji wake ndiyo utaamua ikae miaka 10 au isikae miaka 10..
Hapa mtaani kwetu kuna mwamba ana mazda demio namba BMZ kama sijakosea Rafiki yake aliagiza Japan, katumia kachoka akamuuzia jamaa..ila jamaa sasa hivi ameiharibu...haina mvuto...mmiliki wa pili si mtunzaji...jiulize usajili wa namba B moaka leo ni miaka mingapi....kama tu CAA ni zaidi ya hiyo miaka 10..
Mkuu naomba unisaidie kujua changamoto technical anazo kutana nazo mmiliki wa pili na je kwenye rough road inahimili, ni weza ishi kijijini angalau kwa mwezi mzima na kurudi dsm bila shida.

Natanguliza shukrani mkuu
 
Naona mabo yale yale ya kawaida shock up, ball joint na bushes...
Yaani matatizo anayokutana nayo ni yale common kwa gari nyingine kulingana na hali ya bara bara...

Spea sijajua amegundua chimbo wapi..
 
Habari zenu wakuu, tafadhalini naomba msaada wa ushauri kwa mwenye kuijua mazda demio ya 2004 -2006 upande wa running cost zake, magonjwa yake na je kuna uwezekano wa kudumu nayo kwa miaka angalau 10 kwa mazingira yetu ya Tanzania?

NB: Sijawai kumiliki gari nimeona bei ya mazda demio ipo chini kuliko IST, je na huu ugeni ninunue au nitakuwa nimejipa ugonjwa moyo?
Hii ni gari ya kununua kabisa nlikua sijaielewa mpaka bwana mdogo wangu alipoiagiza anaitumia ana anaifurahia.

Spea machimbo yapo kariakoo na bei ni affordable.
 
Nnakujibu Kwa kuchelewa ila. Niliagiza mwaka jana na nipo nnadunda nayo sijapata changamoto yoyote tangu ifike na safari za above 500 km non stop imefanya za kutosha tu. Kama wewe ni mtunzaji hizo ten years itafika ila kama sio mtunzaji hata upewe land cruiser haitafika
 
ninayo no DLM mwaka wa tano sasa napigia uber hadi imefungwa nafanya bolt na mitandao mingine kama mtu anajua kazi za bolt au tax mtandao unavyozunguka, nami tuseme ni matunzo tu maana kuna oil yake special siyo hizi za 50000Tsh zake zinaanzia 60000 na kuendelea, alafu vifaa pata fundi wa maana hapa juzi nilimpa fundi pesa akanunue spere sababu nilikuwa nimebanwa alichonifanyia sitaki hata kumuona rank hand sijui karushia zilezile hadi nimechoka, ila ukiisimamia ni gari ngumu na mafuta inanusa tu
 
Back
Top Bottom