does exist
Member
- Aug 19, 2022
- 6
- 8
Habari zenu wakuu, tafadhalini naomba msaada wa ushauri kwa mwenye kuijua mazda demio ya 2004 -2006 upande wa running cost zake, magonjwa yake na je kuna uwezekano wa kudumu nayo kwa miaka angalau 10 kwa mazingira yetu ya Tanzania?
NB: Sijawai kumiliki gari nimeona bei ya mazda demio ipo chini kuliko IST, je na huu ugeni ninunue au nitakuwa nimejipa ugonjwa moyo?
NB: Sijawai kumiliki gari nimeona bei ya mazda demio ipo chini kuliko IST, je na huu ugeni ninunue au nitakuwa nimejipa ugonjwa moyo?