HAta huko nchi zilizoendelea kama Marekani, Canada Au hata Europe ukiuliza gari ambayo ni reliable watakwambia go for Toyota or Honda.
Ngoja tumsubiri aje atuambie anaipata wapi..🤣🤣🤣🤣Hahah itakua mzee baba,maana hata 5w-30 MINERAL huipati kwa bei hio aisee.
Ila bado nasubiri atujibu labda kuna brand anayoitumia ambayo hatuijui.
ni 4ltrs, brand name ni Super Japan.'Nazungumzia Engine oil service, kwenye gari ya altezza nimefanya oil change ya 40,000 synthetic oil hio bei ina inlcude na oil filter.'
Hio oil ni lita ngapi unanunua na ni brand gani hio ya oil ambayo Synthetic inauzwa kwa pesa hio mkuu?
Yap, kabisa, sio big brand name lakini itafanya kazi yake inayotakiwa. Na uzuri wa toyotas, zinakubali fresh kiroho safi, sio lazima uweke BP au Total. By the way, hi0 40,000 ilikuwa ni oil price, hio filter nilipewa bure tu, lakini i am sure walishaweka hesabu kwenye kila oil basi wanaweka na bei ya oil filter juu, maana kila nkienda kununua oil filter bure.40,000/- synthetic engine oil pamoja na oil filter kwenye Altezza.....[emoji848][emoji848][emoji848]
Hatari sana....
Sent using Jamii Forums mobile app
Zanzibar mkuuNgoja tumsubiri aje atuambie anaipata wapi..🤣🤣🤣🤣
Super Japan 5w-30 full synthetic - Zanzibar inauzwa kwa bei hio na nimenunua karibuni tuMzee synthetic oil gani 40,000? Castrol 5w30 synthetic 5L ni zaidi ya laki
Sent using Jamii Forums mobile app
Anyway...kuna mdau huku aliwahi kutumia oili inaitwa TAKUMI...kutoka Japan aliweka kwenye nissan serena....anasema ilimzingua..Super Japan 5w-30 full synthetic - Zanzibar inauzwa kwa bei hio na nimenunua karibuni tu
Nissan sio ya kufanyia majaribio na hizo Oil ngeni,ila huku kwny Toyota ni tawire.Anyway...kuna mdau huku aliwahi kutumia oili inaitwa TAKUMI...kutoka Japan aliweka kwenye nissan serena....anasema ilimzingua..
Binafasi naogopa bidhaa zenye majina mageni na zikkiwa zinatoka nchi kubwa.....wahuni hawakawii kuchakachua wakauza bidhaa feki kwa mgongo wa majina ya nchi kunwa kubwa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mkuu...nimewahi kupata experience hiyoNissan sio ya kufanyia majaribio na hizo Oil ngeni,ila huku kwny Toyota ni tawire.
Kununua spea online nako mtihani mwingine kwanza Bei ghali ( in USD), freight charges, Kodi halafu inafika unakuta hai-fitTunaishi kwa mazoea, online Kuna spare kibao genuine na Bei poa
Kununua spea online nako mtihani mwingine kwanza Bei ghali ( in USD), freight charges, Kodi halafu inafika unakuta hai-fit
Anyway...kuna mdau huku aliwahi kutumia oili inaitwa TAKUMI...kutoka Japan aliweka kwenye nissan serena....anasema ilimzingua..
Binafasi naogopa bidhaa zenye majina mageni na zikkiwa zinatoka nchi kubwa.....wahuni hawakawii kuchakachua wakauza bidhaa feki kwa mgongo wa majina ya nchi kunwa kubwa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo inatumia rotary engine kwa hiyo ni kundi jingine kabisaTafuta RX-8.
Itajibu maswali yako yooote mkuu.
Hili ni chaka unamuingiza huyu jamaaa mkuuTafuta RX-8.
Itajibu maswali yako yooote mkuu.
Ngoja mimi niingize hii gari. Watu waige kwanguNgoja alete mmoja, utaona zinaanza kujazana mtaani
Wabongo waoga, tunaigana, hatuna uthubutu.