Mazda kwanini hazipendwi Tanzania ilhali bei yake ipo chini?

Mazda kwanini hazipendwi Tanzania ilhali bei yake ipo chini?

HAta huko nchi zilizoendelea kama Marekani, Canada Au hata Europe ukiuliza gari ambayo ni reliable watakwambia go for Toyota or Honda.

Kwa Ulaya hapana, Gari zinazoheshimiwa sana na kutumika in za Ulaya kuliko za kijapani nikiwa na maana Gari za Jamii ya Toyota hawaziamini kama Gari zao. Ambazo ni Ford, Citron, Renault, Bmw, Mercedes, Audi ,Volkswagen Volvo, na Jamii za Gari nyingine made in Europe.
 
Hahah itakua mzee baba,maana hata 5w-30 MINERAL huipati kwa bei hio aisee.

Ila bado nasubiri atujibu labda kuna brand anayoitumia ambayo hatuijui.
Ngoja tumsubiri aje atuambie anaipata wapi..🤣🤣🤣🤣
 
'Nazungumzia Engine oil service, kwenye gari ya altezza nimefanya oil change ya 40,000 synthetic oil hio bei ina inlcude na oil filter.'

Hio oil ni lita ngapi unanunua na ni brand gani hio ya oil ambayo Synthetic inauzwa kwa pesa hio mkuu?
ni 4ltrs, brand name ni Super Japan.
 
40,000/- synthetic engine oil pamoja na oil filter kwenye Altezza.....[emoji848][emoji848][emoji848]
Hatari sana....

Sent using Jamii Forums mobile app
Yap, kabisa, sio big brand name lakini itafanya kazi yake inayotakiwa. Na uzuri wa toyotas, zinakubali fresh kiroho safi, sio lazima uweke BP au Total. By the way, hi0 40,000 ilikuwa ni oil price, hio filter nilipewa bure tu, lakini i am sure walishaweka hesabu kwenye kila oil basi wanaweka na bei ya oil filter juu, maana kila nkienda kununua oil filter bure.
 
Super Japan 5w-30 full synthetic - Zanzibar inauzwa kwa bei hio na nimenunua karibuni tu
Anyway...kuna mdau huku aliwahi kutumia oili inaitwa TAKUMI...kutoka Japan aliweka kwenye nissan serena....anasema ilimzingua..

Binafasi naogopa bidhaa zenye majina mageni na zikkiwa zinatoka nchi kubwa.....wahuni hawakawii kuchakachua wakauza bidhaa feki kwa mgongo wa majina ya nchi kunwa kubwa..

Nissan sio ya kufanyia majaribio na hizo Oil ngeni,ila huku kwny Toyota ni tawire.
 
Unawatumia chasis number so spea inayokuja inafit. Mara zote nazonunua spea hazifit sikuulizwa chasis number. Ebay UK na autodoc nimewatumia mara nyingi kununua spea. Unazituma kwa wabongo wanaosafirisha mizigo kuja bongo. Wanachaji £5 kwa kilo hadi bongo
Kununua spea online nako mtihani mwingine kwanza Bei ghali ( in USD), freight charges, Kodi halafu inafika unakuta hai-fit

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anyway...kuna mdau huku aliwahi kutumia oili inaitwa TAKUMI...kutoka Japan aliweka kwenye nissan serena....anasema ilimzingua..

Binafasi naogopa bidhaa zenye majina mageni na zikkiwa zinatoka nchi kubwa.....wahuni hawakawii kuchakachua wakauza bidhaa feki kwa mgongo wa majina ya nchi kunwa kubwa..

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni muhimu pia kutambua oil ipi uweke kwenye gari na sio kila oil unatakiwa uweke. Hata izi synthetic niliwahi kusoma sehemu sio nzuri kwa magari ya zamani au yaliotembea sanaaa, wana recommend kutumia oil za kawaida.

Mimi naona ni uaminifu wa muuzaji, mana anaweza akakuletea Total ikawa total disaster nayo, kashachakachua china na kuibandika jina tu.
 
Hizo gari ni pasua kichwa, kuna mshikaji wangu alikuwa na Mazda demio, ilizingua jumba la pamp ya mafuta nakwambiajeeee...tulimaliza maduka yote pale ilala, kila duka tuliloelekezwa hola, tukaja kuelekeza kwa jamaa nauza majumba, tukaja kupata pale hatukupata,

Na akatuambia kama tukipata bei yake itakuwa laki 2na 60, wakati la toyota ni elfu 30 tu na hapo hujaongea, pia nilichojifunza ni kwamba mazda kila toleo lina spare zake yaan haziingilian kama toyota, kwa mfano toyota jumba la pamp ya mafuta ni karibu kari zote yanafanana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom